Dr.Milton Mahanga afungua kesi dhidi ya Msemakweli

Niko na wewe katika hili mkuu Field Marshall ES.

Lakini ni muhimu kuelezea zaidi kidogo kwa ajili ya kuelezea na wengine waelewe kwa nini Mahanga ameenda mahakamani na sio TCU.

Mwenye kitabu chake amesema Mahanga ameghusi shahada yake ya udaktari wa falsafa.... kwa maana nyingine amesema Mahanga amefanya kosa la JINAI.

Kitu ambacho kingemfanya Mahanga kwenda TCU ni kama mwenye kitabu chake angesema Mahanga ana shahada ya udaktari ambayo haitambuliki hama nchini (un-acredited PHD in Tanzania)....

Kwa hiyo ni muhimu muelewe kwamba hii kesi ni rahisi sana, na kwa sheria za nchi mwenye wajibu wa kuthibitisha ni anayetuhumu sio mtuhumiwa... sasa mwenye kitabu chake ndiye akipenda aenda TCU na kukote kule... lakini sio Mahanga.

Na Mahanga akipata tu barua kutoka chuo chake kwamba naam amesoma chuo hiki xyz na ni mhitimu wao shahada ya udakari wa falsafa, kesi itakuwa imeisha.

Haya ndio madhara ya ku-think locally and ku-act locally!

LOL!

Kwa kifupi kuwa na Phd isiyotoka kwenye an accredited instituion na ukaiwakilisha kama vile ni accredited basi Phd hiyo ni feki chini ya taratibu hizo,ni kwamba haikubaliki....lack of authencity.

.

Lakini mkuu, chuo kikiwa accredited USA lazima kiwe accredited Tanzania? au kikiwa unaccredited USA lazima sisi nasi tuseme ni unaccredited?
au chuo kikiwa ccredited Tz lazima USA wakikubali?

Mahanga atashinda kwa sababu sisi hatuna decribed standard yetu kama sisi. na hii ndio imeweka loophole ya watu kufanya wanavyotaka
 
Waberoya,sababu kubwa haswa kwanini public figures wanakuwa considered as a fair game na kwamba false and defamatory statements about them that are published will not constitute to defamation unless the defendant acted with malice is due to the fact kwamba wao public figures wana uwezo wa kujitetea kwenye vyombo vya habari kuhusiana na disparaging falsehoods about themselves,jambo ambalo Mahanga hajafanya bali amekimbilia moja kwa moja mahakamani,je ameshaitumia ile previledge yake aliyonayo kama public figure ya ku access public medium to try and clear himself?

Kuhusiana na standards za serikali,sisi wananchi tunaamini kwamba ni muhimu international standards zitumike kutokana na umuhimu wa shughuli yenyenyewe,sidhani kama tuko that much isolated kiasi cha kusema kuwa tuna standards zetu za accredition ambazo ni local,hili kusema ukweli ni muhimu tulitambue,tusubiri labda kesi hii itafunua mambo mengi,lakini kama ni kweli Daudi Mathayo alishajitokeza na ku establish kwamba Phd yake imetoka kwenye an accredited insititution,then ina maana tunazifuata standards zile zile tunazozijadili hapa za Internationally accreditions.
 
Uliyosema ni kweli kabisa mkuu,

Lakini still kwenda TCU kusingesaidia kwani bado Mathayo watu wana walakini na PhD yake(kuna thread humu). So Mahanga hata angeenda TCU asingezuia watu kusema kuwa kahonga TCU, dont you think Mahakamani is the best place kwake? maana raia ndio akina sisi msemakweli,

However, bado ataenda mahakamani na still akishinda kesi watu watasema amependelewa

Katika situation kama hizi which is the best way to resolve these issues. mimi ningekuwa Mahanga kama nina hakika cheti changu kizuri na employer wangu kakikubali, what is the big deal kwenda mahakamani?

Lakini pia how can we remeady the damage that Msemakweli anaweza kuwa kaifanya kama hawa watu wana genuine degrees kwa 'mitazamo na standard zao' hata kama ni tofauti na sisi wengine?

Naona msemakweli alifanya kosa kujichukulia sheria mkononi, lakini Msemakweli kufanya kosa hakuondoi ukweli kuwa hawa jamaa nao inawezekana wamefanya makosa kuwa na hizo degree. Hii kisheria imekaaje mkuu,, I am confused!
 
Angalizo tu ... kumbuka alipewa nafasi ile (unaibu waziri) kwa sababu qualification ya nafasi yake ni kuwa mbunge... na qualification ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika. kwa hiyo kuwepo kwake na un-accredited PHD has nothing to do na kazi aliyopewa pamoja na kwamba ni puplic post.

Goodmorning Americans, Goodevening... East africanas... and Good night and Asians!

Kwahiyo lile wimbi la ufuatiliaji wa Phd kanjanja lilinahusiana na nini?
Inawezekana kuwa ni lazima uwe mbunge kwanza kabla hauja qualify kuwa waziri,lakini si kweli kuwa ubunge ndio qualification ya uwaziri....Standards za ufanyaji kazi za bunge ni tofauti na kazi za serikali...You got it twisted brother, certainly analysis unayotumia ni wrong,huwezi kusema qualification ya ubunge ya kujua kuandika na kusoma ndio qualification ya uwaziri.....Certainly it can be proven that shughuli za uwaziri zinahitaji kujua zaidi ya kuandika na kusoma,i might be wrong maana anything is possible Tanzania kwani nimeshashtushwa na mengi sana na nimeshazoea habari mbaya mbaya kuhusiana na Taifa letu.
 
Uliyosema ni kweli kabisa mkuu,

Lakini still kwenda TCU kusingesaidia kwani bado Mathayo watu wana walakini na PhD yake(kuna thread humu). So Mahanga hata angeenda TCU asingezuia watu kusema kuwa kahonga TCU, dont you think Mahakamani is the best place kwake? maana raia ndio akina sisi msemakweli,

However, bado ataenda mahakamani na still akishinda kesi watu watasema amependelewa

Katika situation kama hizi which is the best way to resolve these issues. mimi ningekuwa Mahanga kama nina hakika cheti changu kizuri na employer wangu kakikubali, what is the big deal kwenda mahakamani?

Lakini pia how can we remeady the damage that Msemakweli anaweza kuwa kaifanya kama hawa watu wana genuine degrees kwa 'mitazamo na standard zao' hata kama ni tofauti na sisi wengine?

Naona msemakweli alifanya kosa kujichukulia sheria mkononi, lakini Msemakweli kufanya kosa hakuondoi ukweli kuwa hawa jamaa nao inawezekana wamefanya makosa kuwa na hizo degree. Hii kisheria imekaaje mkuu,, I am confused!

Ukweli kwamba hizo Phd ni accredited ama la utategemea na utaratibu serikali inayoutumia kuhusiana na either kama wanafuata internationa accredition ama la.
Sidhani kama serikali inaweza kuja na kusema haifuati hizo international accredition standards,na hivyo ndiyo maana naona kama kesi hii haina mashiko.
Kama utakuwa umenisoma vyema kwenye previous postings,nilisema pia kwasababu ni issue ya vyeti feki kwa viongozi wetu iliyokuwa imeigubika jamii,yani kwenye news everday kwamba viongozi hawa na wale wana Phd feki,Siyo jambo la kushtusha kusikia flani ama gazeti flani nk wamesema ama kuandika kuwa kiongozi flani ana cheti feki,hilo pia linampa nguvu zaidi Msema kweli kwenye defense.
 
kwa hiyo kuna hatari magazeti nayo yakaingia kwenye hizi kesi; patamu hapo... lakini still Msemakweli hawezi kujitetea based on what media say.

Kwenye sheria kuna twist nyingi, lolote laweza kutokea, I pray Msema kweli ashinde, maana atakuwa ameweka ground nzuri ya sisi wengine tuanze kunyoshea watu vidole...., . Reference Msemakweli case.

I hope TCU wataamka baada ya hii case, hasira zangu zimelala kwa hawa watu. yaani wamekuwa kama vituo vya angaza bwana!
 
Mzee wa kazi;mzee wa NBC CLUB
Ni kweli wamtudhalilisha kijinsia lakini naona njia
tunayotumia kujisafisha sio,..ipo kitu inaitwa TCU
hiyo imetokea kututetea tunaoambiwa degree feki
kijana wangu matayo katangulia,..unaonaje mkubwa
ukamfwata TCU wamalize ubishi...mahakama ina mawili
yaweza kutuuumbua ama lah...huu ni ushauri,..ongea vizuri na kijana wako
nkunya myamalize hii aibu hadi familia ukoo atuko vyema
 
kwa hiyo kuna hatari magazeti nayo yakaingia kwenye hizi kesi; patamu hapo... lakini still Msemakweli hawezi kujitetea based on what media say.

Kwenye sheria kuna twist nyingi, lolote laweza kutokea, I pray Msema kweli ashinde, maana atakuwa ameweka ground nzuri ya sisi wengine tuanze kunyoshea watu vidole...., . Reference Msemakweli case.

I hope TCU wataamka baada ya hii case, hasira zangu zimelala kwa hawa watu. yaani wamekuwa kama vituo vya angaza bwana!

Defamation case yoyote ambayo ushahidi wa tuhuma ni wa kimaandishi inaangukia kwenye libel, ie publication ya msema kweli na media this time magazeti ,hao wote wanaangukia kundi moja.(Libel) na kama kuna upande wa TV hiyo itakuwa slander ambayo iko based kwenye matamshi.
 
Kama haitambuliwi na ukaiwakilisha kama ina tambuliwa,then inaweza ku constitute fakeness,kesi hii pia inategemea na serikali yenyewe,kama sijakosea,serikali pia inaweza ikaprovide accredition,na kwahivyo hiyo ni mojawapo ya namna ambayo serikali inaweza kutumika kumbana Msemakweli....Kwahiyo hapo tunarudi kwenye kuangalia ni utaratibu upi unatumika na serikali yetu kuhusiana na issue nzima ya accredition kwasababu shutuma zilizotolewa zimetolewa kutokana na public office anayo ihold ndugu Mahanga.

Kwa kifupi kuwa na Phd isiyotoka kwenye an accredited instituion na ukaiwakilisha kama vile ni accredited basi Phd hiyo ni feki chini ya taratibu hizo,ni kwamba haikubaliki....lack of authencity.

Ni matarajio yetu kuwa serikali ina utaratibu huo,lakini inavyonyesha ni kwamba haina utaratibu wa kufuata accredition kutokana na ukweli kwamba si Mahanga peke yake aliyekumbwa na tuhuma hizo,ni wimbi la viongozi wengi tu,na hilo linampa nguvu za ziada defendant.....

Pia utofauti wa kesi utakuwa mkubwa zaidi endapo ni kweli kuwa Phd yake ameipata from an accredited institution,yani kama angekuwa kwenye ile nafasi ya Daudi Mathayo basi angekuwa na nguvu zaidi za kupiga kelele,na kama ni kweli kuwa Phd yake kaipata kutoka kwenye unaccredited institution,then anapoteza muda tu.....Kwasababu kama public office anayo ihold inahitaji Phd ambayo siyo worthless kama unavyodai,halafu yeye akaileta kama ni worthy,basi inaitwa fake na si wothrless tena,yes it was unworthy but presented as worthy hence fake.

- Mushi aliyonayo Mahanga ni PhD hilo halina ubishi, isipokuwa kuna onyo kutoka kwa watoaji wa hizo PhD za aina yake kwamba haziwezi kutumika kwa ajili ya academic purposes popote pale duniani.

- Kosa la Msemakweli ni kushutumu kwamba Mahanga ana PhD isiyo ya kweli, wakati Mahanga anayo PhD ya kweli, Msema kweli angekuwa na hoja iwapo angemshutmu Mahanga kwa kutaka kuitumia PhD somewhere na akathibitisha hoja yake with evidence, Mahanga si waziri kwa sababu ya kuwa na hiyo PhD, na wala si mbunge kwa sababu ya kuwa na hiyo kihiyo.

However:

- Msemakweli akiweza kuthibitisha with strong evidence kwamba wananchi walimchagua ubunge kwa sababu ya kuamini kwamba ana PhD over Mzee Rupia kutokua nayo, then Mahanga atakuwa kwenye fault na sheria,

- Pia iwapo Msemakweli atathibitisha with strong evidence kwamba Mahanga amepewa uwaziri kutokana na kuwa na PhD over wabunge wengine wasiokuwa nazo, Mahanga again atakuwa kwenye fault na sheria, na hii ni common sense tu over the ishu!

Respect.

FMEs!
 
Hapa umenifungua macho, so inajulikana na yeye anajua kuwa PhD yake haitaweza kutumika kwenye academic pruposes, however at the end of the day ni PhD, hii imetulia .

Kwente category za PhD kuna 1. Research doctorate 2. Higher doctorate 3. Professional doctorate na 4. Honorary doctorate

Mahanga yuko number 3 may be.

Msemakweli hakuzisema PhD za heshima?, maana nazo ni PhD!

nadhani kinachot uchanganya ni kujua/kuamini kila mwenye PhD lazima afundishe mlimani! Msemakweli asije kuwa alifanya asumption hizi, nitacheka!
 
- Ukifuatilia vyuo vyote ambavyo vimewapa PhD hawa wakuu wetu, utaikuta kwenye mission statements zao hii kitu kuhusu kutotumika kwa hizo PhD kwenye any academic purpose wala sio siri.

Resspect.

Shukrani mkuu, nilikuwa gizani
 
Field achana na hi thread naona natija ya maana kwani ukitaka unawafahamisha but watu wanabisha sasa
ukibishana nawatu wasiotaka kufahamu utaumia bure wacha Akina mahanga na mathayo wakafundishe watoto wetu na tuwe na wanataalumu wasiofahamu kitu matokeo mikataba mibovu. Tunalipa watu kutufundisha na nchi inabakia palepale hebu nijitoe katika hii thread adios guys
 
Unatakiwa kufunga hilo domo lako kubwa.Msemakkweli anatakiwa afundishwe adabu.
 
- Mushi aliyonayo Mahanga ni PhD hilo halina ubishi, isipokuwa kuna onyo kutoka kwa watoaji wa hizo PhD za aina yake kwamba haziwezi kutumika kwa ajili ya academic purposes popote pale duniani.

- Kosa la Msemakweli ni kushutumu kwamba Mahanga ana PhD isiyo ya kweli, wakati Mahanga anayo PhD ya kweli, Msema kweli angekuwa na hoja iwapo angemshutmu Mahanga kwa kutaka kuitumia PhD somewhere na akathibitisha hoja yake with evidence, Mahanga si waziri kwa sababu ya kuwa na hiyo PhD, na wala si mbunge kwa sababu ya kuwa na hiyo kihiyo.

However:

- Msemakweli akiweza kuthibitisha with strong evidence kwamba wananchi walimchagua ubunge kwa sababu ya kuamini kwamba ana PhD over Mzee Rupia kutokua nayo, then Mahanga atakuwa kwenye fault na sheria,

- Pia iwapo Msemakweli atathibitisha with strong evidence kwamba Mahanga amepewa uwaziri kutokana na kuwa na PhD over wabunge wengine wasiokuwa nazo, Mahanga again atakuwa kwenye fault na sheria, na hii ni common sense tu over the ishu!

Respect.

FMEs!

Mzee FMES, ngoja tuone:

Kutokana na mchango wako hapa JF, nimekupa digrii ya udaktari wa falsafa kama inavyoonekana hapa chini. Wewe unajua wazi kuwa Kichuguu International University of Ufisadi haipo lakini umeipokea digrii hii, na vile vile wakati nakupa digrii hii nimekuambia kabisa kuwa hii siyo digrii ya kitaaluma.

Swali linakuja hapa ni hilo kuwa wewe umeamua kuichukua digrii hiyo na kuiweka katika CV yako ya kiserikali na kutaka dunia nzima ikutambue kuwa kweli wewe una digrii ya udhamiri ya udaktari wa falsafa na kutaka utambuliwe hivyo kwa kuitwa Dr. FMES. Huoni kuwa kuna tatizo kubwa sana hapo; hasa ukizingatia kuwa umemwambia hata mwajiri wako (ambaye ni serikali) tena kwa kiapo kuwa kweli wewe una elimu ya udaktari wa falsafa?

Inawezekana kweli kuna technical issues katika matumizi ya maneno ya Msema kweli kwa kudai kuwa jamaa "amegushi cheti" badala ya kusema "amesema uwongo kuhusu elimu yake." Hata hivyo technicalities hizo ni ndogo sana katika kesi hiyo. Zitakuwa na uzito tu pale Mahanga atakapoonyesha kuwa madai ya kuwa "ameguishi cheti cha elimu yake" badala ya "kutokusema ukweli kuhusu elimu yake" yamemletea madhara makubwa irreparable damages katika reputation yake. Vinginevyo tuendelee kusubiri uamuzi wa mahakama: anything can happen there.

attachment.php

Attachments

  • PHD.pdf
    PHD.pdf
    104.9 KB · Views: 70
  • phd-001.jpg
    phd-001.jpg
    40.1 KB · Views: 188
- Mushi aliyonayo Mahanga ni PhD hilo halina ubishi, isipokuwa kuna onyo kutoka kwa watoaji wa hizo PhD za aina yake kwamba haziwezi kutumika kwa ajili ya academic purposes popote pale duniani.

- Kosa la Msemakweli ni kushutumu kwamba Mahanga ana PhD isiyo ya kweli, wakati Mahanga anayo PhD ya kweli, Msema kweli angekuwa na hoja iwapo angemshutmu Mahanga kwa kutaka kuitumia PhD somewhere na akathibitisha hoja yake with evidence, Mahanga si waziri kwa sababu ya kuwa na hiyo PhD, na wala si mbunge kwa sababu ya kuwa na hiyo kihiyo.

However:

- Msemakweli akiweza kuthibitisha with strong evidence kwamba wananchi walimchagua ubunge kwa sababu ya kuamini kwamba ana PhD over Mzee Rupia kutokua nayo, then Mahanga atakuwa kwenye fault na sheria,

- Pia iwapo Msemakweli atathibitisha with strong evidence kwamba Mahanga amepewa uwaziri kutokana na kuwa na PhD over wabunge wengine wasiokuwa nazo, Mahanga again atakuwa kwenye fault na sheria, na hii ni common sense tu over the ishu!

Respect.

FMEs!

Hiyo Phd yake kama iko kwenye resume ama CV yake,na alipopewa kazi alipewa kwa mujibu wa CV yake,then what do you call it?Mkuu we should call a spade a spade.

Halafu unasisitizia sana eti Msema kweli akadhibitishe whatever,unaonyesha kuwa unashindwa kuona pointi za muhimu ninazoziongelea kuhusiana na issue hii,yeye Mahanga kama public figure na plaintiff in this matter,ni yeye anayetakiwa kudhibitisha kwamba anayosema msema kweli si kweli na si Msema kweli,Msema kweli yeye wala hana majukumu ya kutoa evidence yoyote kuwa Mahanga alipewa uwaziri kwasababu ya Phd,kama ameilist kwenye CV huo ni ushahidi tosha mkuu,yeye Mahanga ndiyo anatakiwa adhibitishe kwamba madai hayo ni ya uongo na hata kama ni kweli kuwa madai hayo ni ya uongo,bado ni LAZIMA adhibitishe malice...Kwamba Msema kweli alikuwa na nia ya kum harm...Tunaupeleka mjadala mbele lakini tunasahau facts nyuma.
 
Mzee FMES, ngoja tuone:

Kutokana na mchango wako hapa JF, nimekupa digrii ya udaktari wa falsafa kama inavyoonekana hapa chini. Wewe unajua wazi kuwa Kichuguu International University of Ufisadi haipo lakini umeipokea digrii hii, na vile vile wakati nakupa digrii hii nimekuambia kabisa kuwa hii siyo digrii ya kitaaluma.

Naomba ufafanuzi nielewe sheria hapa

Anapewaje degree na at the same time unasema university haipo?

Halafu kusema kuwa haitatumika kitaaluma unaelewaje? Kuwa hawezi kufundisha kwenye academic institution using that degree, au hawezi akaweka hicho cheti kama moja ya credential wakati ana seek anything for academic, let say anataka kusoma post-doctoral programme, obvious watahitaji PhD certificate, hapa umeelewaje mkuu?

Do we have any regulation ya kumkataza mtu kutotumia title ya Dr.?

we have Dr. Kikwete, Dr. Lwakatare. suppose sijui kabisa kuwa wamepewa hizo doctorate kiheshima, what makes me to think kuwa mtu akiitwa Dr. basi ana PhD sawa na waliozonazo walimu wa vyuoni say Dr. Mwakyembe,Dr. Mwandosya n.k

Kama sheria ipo siijui, ila nina wasiwasi tunaweza tukawa tunatumia commonsense judgement ambayo imetokana na tulivyozoea, na kuzoea jambo sio sheria; hawezi jamaa akashinda kesi?

Labda cha kujiuliza hizi PhD zisizo za kitaaluma zina faida gni kwa jamii na kwa nini wanazichukua?? sijui kwakweli
 
Are you serious?Ama ni kwasababu bado hatuna utaratibu wa kuzipa public office umuhimu wake kwa kuzihold kwenye standards zinazohitajika?Halafu sijaelewa hapo unapouliza kama sheria ipo na kama jamaa hawezi akashinda kesi,je unamanisha nini?Jamaa gani akashinda?Mkuu jaribu kuwa objective more than rhetoric....Maana badala ya kuwaonea huruma wananchi eti unawaonea huruma watu wenye Phd fake kwamba kwanini wanazichukua,tumia common sense na ujiulize ni kwanini wananchi wadanganywe na pia kuna faida ama hasara gani kwenye uongo huo,this time kwenye CV,nashangazwa sana kuwa ni kitu gani kisichoeleweka hapo....When it comes to a public office we have standards,and those standards should therefore be adhedered....Yeye Mahanga ndiye mwenye majukumu ya udhibitishaji kama ameudanganya umma ama la na si eti kwanini wanazichukua.
 
Taratibu kaka wengine common sense zetu sio common!

Ziko wapi hizo standards na mimi mtu wa kawaida nitazijuaje, maana public office sio viongozi tu, inaanzia kwa katibu tarafa!

sijaona tatizo la swali langu kuuliza kwa nini hawa jamaa wanazichukua hizi PhD, kuna ubaya gani kuuliza hivi mkuu? kwa nini mtu achukue PhD yenye chata ya kuwa haina matumizi kitaaluma hapa kuuliza imekuwa kosa tena) FMES atakuwa anajua je wanazitumia wapi, employer wao anataka, au kujipa ujiko au ni nini hasa? sijui na sioni tatizo kuuliza wanazitumia wapi. Kwa mimi najua PhD is requirements kwa watu kufundishia vyuoni, napata taabu nikiona mtu asiye academiciana kuchukua PhD tena inachata kabisa kuwa siyo ya kitaaluma!, ndiyo maana nauliza

Mwanzoni umesema hatuna utaratibu wa kuziweka ofisi zetu katika standard inayotakiwa, sasa akatika kesi hii , nataka kujua kama hatuna huu utaratibu nani yuko kwenye mazingira ya kushinda kesi hii!! Msemakweli au huyu muheshimiwa?

Sijajua maswali yangu yana -irritate wapi, nauliza kujua simwonei huruma Msemakweli wala Mahanga. Sina side hapa nataka nielewe kama Msemakweli atashinda na kwa ground vipi au kama Mahanga atashinda ni kwa ground zipi.

Halafu umesema pia PhD ya Mahanga ni fake, hata mimi nasema PhD yake ni fake, lakini mwenzangu umetumia criteria gani kusema ni fake, tunaweza tukawa hatuna common criteria ya kusema hii PhD ni feki. Maana hata PhD ya Mathayo pamoja na kusafishwa na TCU still nasema ni feki kwa criteria zangu.

Mkuu nenda taratibu wengine brain zetu ziko slow sana kuabsorb haya mambo!!
 
Back
Top Bottom