Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

Alitoa kauli akiwa huko huko na kukanusha JPM hajafariki alipoulizwa na media za bongo. Au ulidhani angetoa kauli akiwa Tanzania?
Na wewe usinchanganye. Wa kwanza kasema alihojiwa na BBC. Wa pili eti aliongea NBC. Mwingine kaniambia alihojiwa na Reuters. Wewe unasema alihojiwa na Media za Bongo! Duh!
 
Ajiandae kulipwa laki moja kila mwisho wa mwezi
Jidanganye na Wadanganye wasiojua lolote. Kwa Kukusaidia tu ni kwamba pamoja na kwamba Ameshastaafu ila Pensheni yake atakayokuwa akilipwa sasa itakuwa ni 80% ya Mshahara wa DGIS wa sasa.

Nakuuliza je, kwa Mfano DGIS wa sasa akiwa analipwa Mshahara wa Tsh Milioni 40 kwa Mwezi unadhani Pensheni ya Dk. Kipilimba kwa 80% atakuwa analipwa Kiasi gani?

Kalaghabaho kweli kweli Wewe Mkuu.
 
Na wewe usinchanganye. Wa kwanza kasema alihojiwa na BBC. Wa pili eti aliongea NBC. Mwingine kaniambia alihojiwa na Reuters. Wewe unasema alihojiwa na Media za Bongo! Duh!
Wewe ulibisha kwamba hakuwahi ongelea Hilo swala sababu hakuwepo Tanzania, issue iwe media ya bongo au idhaa ya kiswahili BBC; ujumbe ni kwamba punguza ujuaji sababu alitoa press release akiwa Namibia itoshe hivyo.
 
Alizira baada ya kupewa ubalozi. Alitarajia bado atapewa kitengo cha kuteka watu baada ya dhalimu kuelekea motoni.
Alafu wanavyowasifiaga Sasa sijui majasusi sijui smart Cha ajabu hatuoni impacts zao hata huko ubalozini. Huyu si alikua NIDA ila Bado walifeli kutoa vitambulisho mpaka miaka 7 mtu anasubiri tu? Sasa huwa najiuliza hizo sifa zote za kazi Gani kama hatuoni faida yoyote?

Wanachoweza ni kuiba kura na kuteka wapinzani tu.
 
Kumbukumbu zako ziko vizuri? Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Balozi Namibia. Mwamba Jiwe Magufuli alifarikia mwaka 2021 wakati Kipilimba yuko Namibia. Halafu wewe eti alidanganya! Unakurupuka na nini?

Kwani alikokuwa alizuiliwa kusema alikokuwa jiwe?

Umejiridhisha huyu ndugu hahakisema kuwa jiwe alikuwa hai kama Kwa bwana katelefoni?
 
Wakati wake huyu miili ilikuwa ikiokotwa baharini kila siku, nasikia aliunda kikosi kazi waliteka na waliua watu wengi sana, wizi wa kura nasikia ulikuwa unasimamiwa na kitengo chake, jitu la hovyo sana hili
hii ndio JF,
wizi wa kura wakati hakuwepo tanzania kuanzia 2019, aliiba lini?
 
Alafu wanavyowasifiaga Sasa sijui majasusi sijui smart Cha ajabu hatuoni impacts zao hata huko ubalozini. Huyu si alikua NIDA ila Bado walifeli kutoa vitambulisho mpaka miaka 7 mtu anasubiri tu? Sasa huwa najiuliza hizo sifa zote za kazi Gani kama hatuoni faida yoyote?

Wanachoweza ni kuiba kura na kuteka wapinzani tu.
nida alikaa muda gani?
kumbuka huyu kateuliwa 2016 kuwa DG, kisha 2019 katenguliwa!
 
kuna vitu vingine wabongo inabidi tujifunze, nani kasema ukiwa boss wa tiss ndio utakua unahusika na kila uovu uliopo katika idara yako?

naona watu wanamtwisha mbaba wa watu tuhuma za mauaji wakati usikute maskini baba wa watu hata alikua hapendi hizo mambo,....

ni kama cdf tu, makanali huwa wanapindua nchi lakini sijui kama cdf huwa anahusika au anakua na prior info,.... kwaio tuache kuwatwisha hawa wazee mizigo yote pengine mengine hawahusiki,

(la lissu tunajua ni kina bashite, la viroga vya maiti mbona alikua analaumiwa siro na vijana wake?....) anyway ukubwa ni jalala
 
Alafu wanavyowasifiaga Sasa sijui majasusi sijui smart Cha ajabu hatuoni impacts zao hata huko ubalozini. Huyu si alikua NIDA ila Bado walifeli kutoa vitambulisho mpaka miaka 7 mtu anasubiri tu? Sasa huwa najiuliza hizo sifa zote za kazi Gani kama hatuoni faida yoyote?

Wanachoweza ni kuiba kura na kuteka wapinzani tu.
Kabisa, ukisikia hizo sifa zao unaweza kudhani ni watu wa maana, kumbe sifa yao kubwa ni kuumiza wengine kwa ajili ya kuwafurahisha viongozi.
 
Wewe ulibisha kwamba hakuwahi ongelea Hilo swala sababu hakuwepo Tanzania, issue iwe media ya bongo au idhaa ya kiswahili BBC; ujumbe ni kwamba punguza ujuaji sababu alitoa press release akiwa Namibia itoshe hivyo.
Kwasababu hakuna ushahidi wa dhahiri, basi hakusema!
 
Back
Top Bottom