Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

Dr. Modestus Kipilimba astaafu rasmi utumishi wa umma

Tufanye mema ndugu zangu, umri unadanganya sana, miaka 30-50 yaana hapa unajiona hukui unajipa matumaini utaishi sana

Unaumiza watu, unafanya lolote la kufurahisha watu hata kama wanaumia

Ila 60 hii hapa, unabaki na mjuto japo unatabasamu usoni

Kipilimba atakufa ananuka damu za watu, mjuto yake mpaka siku ya mwisho
 
Uwe unauliza clarification badala ya kubishana na kusema watu ni waongo. Hili tatizo tunalo watanzania wengi mno na limeshakuwa kama utamaduni wetu. Mtu anabishana kwanza halafu baadae unasikia anakuja kusema ''labda useme hivyo''.
Wewe unayefuatilia na kama uko vizuri, ungeliweka nukuu ya Dk. Kipilimba alisema hayo unayosema akiwa Namibia. Mwisho wa siku mnaaminishana kasema, kasema hamuweki ushahidi. Weka ushahidi hapa na nitafuta kauli yangu. Least, it will stand!
 
Tatizo mnpata habari kwenye vyombo vya vichochoroni. Kipilimba alihojiwa na BBC mwaka 2021 akiwa hukohuko Namibia, akasema Magufuli ni mzima wa afya, akaknusha vikali taarifa za kuwa amefariki.
Sasa kama Waziri wake Mkuu alisema Boss wao ni mzima, yeye ni nani kumbishia Boss wake!?
 
Wewe unayefuatilia na kama uko vizuri, ungeliweka nukuu ya Dk. Kipilimba alisema hayo unayosema akiwa Namibia. Mwisho wa siku mnaaminishana kasema, kasema hamuweki ushahidi. Weka ushahidi hapa na nitafuta kauli yangu. Least, it will stand!
Jinga kabisa wewe. Unataka ushahidi kwani ulikuwa umefungiwa gerezani? Jambo limefanyika juzi juzi hata miaka mitatu haijaisha na watu tulijadili sana leo unajitoa ufahamu? Sina muda na idiot kama wewe!
 
Dogo, taarifa za zote za BBC ziko documented. Tupia hiyo taarifa tuione.
Wewe unajiita mtoto wa shule, alafu unawaita wazee wako hapa JF 'dogo' 😀😀


Habari hiyo hapo, iliripotiwa na Reuters, sio BBC.
 
Ndio maana unajiita mtoto wa shule huyajui mengi! Huyu alipiga simu akiwa Namibia akaongea Magufuli yupo mzima bukheri wa afya Erythrocyte yuko sahihi.
Walikuwa wakifuata kauli moja hivyo asingesema vinginevyo. Ndo maana hata waziri mkuu nae akasema yake kule kwenye umati.

Lakini alisema yale kwa majuto kwamba yeye ni mchungaji.
 
Kumbukumbu zako ziko vizuri? Mwaka 2019 aliteuliwa kuwa Balozi Namibia. Mwamba Jiwe Magufuli alifarikia mwaka 2021 wakati Kipilimba yuko Namibia. Halafu wewe eti alidanganya! Unakurupuka na nini?
Alitoa kauli akiwa huko huko na kukanusha JPM hajafariki alipoulizwa na media za bongo. Au ulidhani angetoa kauli akiwa Tanzania?
 
NIkusaidie tu Dogo, Namibia haina High Commissioner!
Hii profile yake mbona inakinzana na statement yako ? Unaweza kufafanua zaidi ?


IMG_20230817_224312.jpg
 
Hii profile yake mbona inakinzana na statement yako ? Unaweza kufafanua zaidi ?


View attachment 2720308
Msameheni huyo mpumbavu
 
Back
Top Bottom