REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hilo lipo waziAkijaribu tu ninauhakika ataomba uraia wa TZ.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo lipo waziAkijaribu tu ninauhakika ataomba uraia wa TZ.
Asihoji upande wa serikali tu bali na upande wetu raia wenyewe,anajazwa na kujazika huku ukweli tukibaki nao sie.
Asihoji upande wa serikali tu bali na upande wetu raia wenyewe,anajazwa na kujazika huku ukweli tukibaki nao sie.
sio kwamba anatangatanga bali ameona future ya Africa inaonekana Tanzania na ndio anatumia usemi wa BLACK POWERMlivyo waoga mumemuwacha anatangatanga sijui kipi anafanya cha maana zaidi ya kuwakuna huko, mumeogopa kumtongoza...
Hii list hapo juu ni Kama ili Taifa Stars ya mwishoni míaka ya sabini akina Sembuli, Mahadhi, etc....ni hatari🙂Kuna vichwa bado hajavigusa
1. Kabudi
2. Wizara ya Fedha (Mpango)
3. Uwekezaji (Kairuki)
4. TPA
5. TAA
6. TCAA kuhusu radar
7. TAMISEMI Jafo
8. Afya Umi Mwalimu
9. Maji Mbarawa
7. Kilimo na Uvuvi Mpina
Ujenzi wa barabara, meli ziwa victori, nyasa na Tanganyika.
Hifadhi ya chakula ya Taifa
SUMA Jkt
Nina uhakika atarudi Kenya na kujiona wakenya wanacheza ndomboro.
Nimeiona hii kwenye jukwaa la siasa nikacheka sana, duh hawa wenzetu wanaishi kitumwa, sasa fulana haijasema ni Membe yupi na huyo atamchagua kwa lipi 2020.View attachment 1106674Jinsi Rose alivyofungiwa, ehh?
Huyu naye kosa lake ni lipi? Naomba kujuzwa.
Mimi nimeipenda sana interview na Dotto Biteko. Ina inspire sana. Na sijawahi kumfikiria kama anajua vitu vingi kiasi hicho.The best interview kwangu ni ya Dr Medard Kalemani, he explained from the nutshell yaani mpaka Dr Mumbi alikosa chance ya kuuliza swali, she was speechless you can learn from her body language hata interview na Ladislaus Matindi was on point especially encouragement from the young engineer girl,
Sijajua kwanini Dr Mumbi hakuwa interview hawa Malkia wetu wa nguvu
Pia aende kwenye masoko JPM aliyoyaanzisha ya serikali ya uuzaji wa dhahabu ajionee maajabu ndani ya mwezi mmoja yaliyotokea.
Hakika yapo mengi ya kushangaza na kustaajabisha katika uongozi madhubuti na uliotukuka wa Jemedari wetu JPM
Unataka kusema nini?, kwahiyo hii mitandao ya kijamii haina maana?, JF haina maana, Face book haina maana, Tweeter, Instagram, FM vyote havina maana, au wewe kwako unataka waende CNN, BBC na Aljazeera ndio vyenye maana, ila hawa wajasiria Mali wetu wadogo wadogo wanaoanzisha vyombo vyao ili wajikwamue wewe kwako unaona hawana maana hawastahili kuungwa mkono?..huyu mama hafanyi hiyo kazi bure, analipwa.
..we are wasting our money.
..badala ya mawaziri wetu kuzungumza na vyombo vya habari vya maana, wanazungumza na mwandishi wa habari wa vichochoroni.
Mpumbavu wewe chuki za kipumbavu zitakupoteza. Umepitwa na wakati...huyu mama hafanyi hiyo kazi bure, analipwa.
..we are wasting our money.
..badala ya mawaziri wetu kuzungumza na vyombo vya habari vya maana, wanazungumza na mwandishi wa habari wa vichochoroni.
Unataka kusema nini?, kwahiyo hii mitandao ya kijamii haina maana?, JF haina maana, Face book haina maana, Tweeter, Instagram, FM vyote havina maana, au wewe kwako unataka waende CNN, BBC na Aljazeera ndio vyenye maana, ila hawa wajasiria Mali wetu wadogo wadogo wanaoanzisha vyombo vyao ili wajikwamue wewe kwako unaona hawana maana hawastahili kuungwa mkono?
Mpumbavu wewe chuki za kipumbavu zitakupoteza. Umepitwa na wakati.
Since 2010 unaeneza chuki dhidi ya watanzania imekusaidia nini.
Nakuhakikishia you are days are numbered.
Hehehe yaani atoke huko bila mimba ukizingatia gharama mnazoingia kumuweka kwenye hoteli za kifahari, hainingii akilini analala mwenyewe humo.Msee vipi!! Mbona unabadili mada, acha ufisi [emoji1]
Wewe tangu 2010 unaropoka tu na kutoa matusi kwenye mitandao. What did you do!?..sina chuki na waTz.
..ningekuwa na chuki ningefurumusha matusi kama ulivyofanya.
..huyu mama anaifanya serekali yetu ionekane ina watu wa hovyo-hovyo sawa na yeye.
Wewe tangu 2010 unaropoka tu na kutoa matusi kwenye mitandao. What did you do!?
Umejificha kwenye mitandao, wewe ni mwoga na mnafiki. Jitokeze hadharani kama akina Zitto na Maria Sarungi.
Umefanikiwa nini sasa!? Upo na miaka kumi unaongea maneno hayohayo.
Wewe ni mpumbavu tu. Na upumbavu siyo tusi. Mpumbavu ni mtu kama wewe kuanza kushindana vita asiyo iweza. Mwisho wa siku unakufa bila kumbukumbu yoyote na watoto wako wanakulaaani.
So because she is shallow, then she should be denied her right for work and generate income?. How do you grade shallowness after all?. Those who support her, find her very good...she is shallow.
..and she was not prepared for all the interviews that she conducted.
..wako waandishi wa Tz wangeweza kufanya interview nzuri kuliko huyu mama.
..hata Kenya kuna waandishi kadhaa who are better than this lady.
So because she is shallow, then she should be denied her right for work and generate income?. How do you grade shallowness after all?. Those who support her, find her very good.
Let's assume that you are right she is shallow, but she sends request to come to your office for an interview, will you refuse or you will prepare questions for her?.
I can see there are Kenyans supporting your narrative because Dr.Mumbi is in support of what is happening in Tanzania, should the GoT refused to give her access, the same Kenyans would complain that Tanzanians mistreat Kenyans.
Nimekuuliza maswali ya msingi na nimekuona umeanza kuwa mpole...unanisingizia.
..sina sifa ya kutoa matusi hapa JF.
..pia sina vita na mtu yeyote.
..natumia jina la bandia ili wachangiaje wawe na uhuru zaidi ktk kujadiliana na mimi.
..tusiingize mambo ya watoto/ familia ktk mijadala yetu. Tukifanya hivyo tutaharibu sifa yetu.
..hili ni jukwaa la Wakenya. Sasa siyo vizuri waTz tukajadiliana kwa namna ambayo inashusha utu wetu.
..wewe unajiona unaipenda Tz kuliko wengine, lakini lugha unayotumia inatuchafua waTz na kuonekana vituko.