Dr. Mumbi anajaribu kuwafungua macho na masikio wakenya kuhusu TZ, Wameweka pamba masikioni

Asihoji upande wa serikali tu bali na upande wetu raia wenyewe,anajazwa na kujazika huku ukweli tukibaki nao sie.

Hehehe!! Hilo nalo neno, atinge kitaa pia na kuwahoji Watanzania, maana huko kwenye ofisi za vioo anakumbana na watu waliokariri majibu ya kumpa.
 
Asihoji upande wa serikali tu bali na upande wetu raia wenyewe,anajazwa na kujazika huku ukweli tukibaki nao sie.
1558704669662.png
Jinsi Rose alivyofungiwa, ehh?
Huyu naye kosa lake ni lipi? Naomba kujuzwa.
 
Kuna vichwa bado hajavigusa
1. Kabudi
2. Wizara ya Fedha (Mpango)
3. Uwekezaji (Kairuki)
4. TPA
5. TAA
6. TCAA kuhusu radar
7. TAMISEMI Jafo
8. Afya Umi Mwalimu
9. Maji Mbarawa
7. Kilimo na Uvuvi Mpina
Ujenzi wa barabara, meli ziwa victori, nyasa na Tanganyika.
Hifadhi ya chakula ya Taifa
SUMA Jkt

Nina uhakika atarudi Kenya na kujiona wakenya wanacheza ndomboro.
Hii list hapo juu ni Kama ili Taifa Stars ya mwishoni míaka ya sabini akina Sembuli, Mahadhi, etc....ni hatari🙂
 
View attachment 1106674Jinsi Rose alivyofungiwa, ehh?
Huyu naye kosa lake ni lipi? Naomba kujuzwa.
Nimeiona hii kwenye jukwaa la siasa nikacheka sana, duh hawa wenzetu wanaishi kitumwa, sasa fulana haijasema ni Membe yupi na huyo atamchagua kwa lipi 2020.
Awamu ya sasa ina uwoga mwingi sana kuogopa kivuli.
 
I mean this is the only thing you can do to a corrupt, Inept,Barbaric, creepy system that is deadly to journalists. Praise them on high end to survive.
 
The best interview kwangu ni ya Dr Medard Kalemani, he explained from the nutshell yaani mpaka Dr Mumbi alikosa chance ya kuuliza swali, she was speechless you can learn from her body language hata interview na Ladislaus Matindi was on point especially encouragement from the young engineer girl,

Sijajua kwanini Dr Mumbi hakuwa interview hawa Malkia wetu wa nguvu

Pia aende kwenye masoko JPM aliyoyaanzisha ya serikali ya uuzaji wa dhahabu ajionee maajabu ndani ya mwezi mmoja yaliyotokea.

Hakika yapo mengi ya kushangaza na kustaajabisha katika uongozi madhubuti na uliotukuka wa Jemedari wetu JPM
Mimi nimeipenda sana interview na Dotto Biteko. Ina inspire sana. Na sijawahi kumfikiria kama anajua vitu vingi kiasi hicho.
 
..huyu mama hafanyi hiyo kazi bure, analipwa.

..we are wasting our money.

..badala ya mawaziri wetu kuzungumza na vyombo vya habari vya maana, wanazungumza na mwandishi wa habari wa vichochoroni.
 
Unataka kusema nini?, kwahiyo hii mitandao ya kijamii haina maana?, JF haina maana, Face book haina maana, Tweeter, Instagram, FM vyote havina maana, au wewe kwako unataka waende CNN, BBC na Aljazeera ndio vyenye maana, ila hawa wajasiria Mali wetu wadogo wadogo wanaoanzisha vyombo vyao ili wajikwamue wewe kwako unaona hawana maana hawastahili kuungwa mkono?
 
Mpumbavu wewe chuki za kipumbavu zitakupoteza. Umepitwa na wakati.
Since 2010 unaeneza chuki dhidi ya watanzania imekusaidia nini.

Nakuhakikishia you are days are numbered.
 
..she is shallow.

..and she was not prepared for all the interviews that she conducted.

..wako waandishi wa Tz wangeweza kufanya interview nzuri kuliko huyu mama.

..hata Kenya kuna waandishi kadhaa who are better than this lady.
 
..sina chuki na waTz.

..ningekuwa na chuki ningefurumusha matusi kama ulivyofanya.

..huyu mama anaifanya serekali yetu ionekane ina watu wa hovyo-hovyo sawa na yeye.
 
Msee vipi!! Mbona unabadili mada, acha ufisi [emoji1]
Hehehe yaani atoke huko bila mimba ukizingatia gharama mnazoingia kumuweka kwenye hoteli za kifahari, hainingii akilini analala mwenyewe humo.
 
..sina chuki na waTz.

..ningekuwa na chuki ningefurumusha matusi kama ulivyofanya.

..huyu mama anaifanya serekali yetu ionekane ina watu wa hovyo-hovyo sawa na yeye.
Wewe tangu 2010 unaropoka tu na kutoa matusi kwenye mitandao. What did you do!?
Umejificha kwenye mitandao, wewe ni mwoga na mnafiki. Jitokeze hadharani kama akina Zitto na Maria Sarungi.

Umefanikiwa nini sasa!? Upo na miaka kumi unaongea maneno hayohayo.
Wewe ni mpumbavu tu. Na upumbavu siyo tusi. Mpumbavu ni mtu kama wewe kuanza kushindana vita asiyo iweza. Mwisho wa siku unakufa bila kumbukumbu yoyote na watoto wako wanakulaaani.
 
..unanisingizia.

..sina sifa ya kutoa matusi hapa JF.

..pia sina vita na mtu yeyote.

..natumia jina la bandia ili wachangiaje wawe na uhuru zaidi ktk kujadiliana na mimi.

..tusiingize mambo ya watoto/ familia ktk mijadala yetu. Tukifanya hivyo tutaharibu sifa yetu.

..hili ni jukwaa la Wakenya. Sasa siyo vizuri waTz tukajadiliana kwa namna ambayo inashusha utu wetu.

..wewe unajiona unaipenda Tz kuliko wengine, lakini lugha unayotumia inatuchafua waTz na kuonekana vituko.
 
..she is shallow.

..and she was not prepared for all the interviews that she conducted.

..wako waandishi wa Tz wangeweza kufanya interview nzuri kuliko huyu mama.

..hata Kenya kuna waandishi kadhaa who are better than this lady.
So because she is shallow, then she should be denied her right for work and generate income?. How do you grade shallowness after all?. Those who support her, find her very good.

Let's assume that you are right she is shallow, but she sends request to come to your office for an interview, will you refuse or you will prepare questions for her?.

I can see there are Kenyans supporting your narrative because Dr.Mumbi is in support of what is happening in Tanzania, should the GoT refused to give her access, the same Kenyans would complain that Tanzanians mistreat Kenyans.
 
..she was not prepared.

..the questions she asked were not good.

..that caused gov officials she interviewed to come out flat.

..angekuwa na maswali mazuri, angepata majibu mazuri yenye kuelimisha watazamaji wake.
 
..unanisingizia.

..sina sifa ya kutoa matusi hapa JF.

..pia sina vita na mtu yeyote.

..natumia jina la bandia ili wachangiaje wawe na uhuru zaidi ktk kujadiliana na mimi.

..tusiingize mambo ya watoto/ familia ktk mijadala yetu. Tukifanya hivyo tutaharibu sifa yetu.

..hili ni jukwaa la Wakenya. Sasa siyo vizuri waTz tukajadiliana kwa namna ambayo inashusha utu wetu.

..wewe unajiona unaipenda Tz kuliko wengine, lakini lugha unayotumia inatuchafua waTz na kuonekana vituko.
Nimekuuliza maswali ya msingi na nimekuona umeanza kuwa mpole.
1. Ulikuwa unajua hili ni jukwaa la wakenya kwanini umekuja kutapika uharo!?

2. Umesema huna vita na Tanzania. Unaye mwita huyu "mama" ataifanya tanzania ionekane ya ovyo ni nani!? Ni mama yako au mama wa mtanzania mwenzako!?

3. Unasema najiona naipenda Tanzania kuliko wengine! Kipimo hicho cha kujiona umekitoa wapi!? Au unadhani watu wote wanafikiri kama wewe!? Waacha watu wawe na uhuru siyo kuwaamlia.

4. Sasa wewe tangu 2010 unapiga mayowe kuwadhalilisha viongozi ambao wanaweza kukuzaa tabia hiyo uliitoa wapi!? Huo sio utanzania. Imekusaidia nini kumdhalilisha Kikwete, Lowasa na sasa unamdhalilisha JPM. Huoni unacheza mchezo wa kitoto!?

5. Unasema nimeingiza familia yako!! Hizi ni akili za kipumbavu. Wewe upo jina bandia nitaijuaje familia yako!? Nimekupa angalizo tu kwa haya unayoyafanya ndani ya miaka kumi bila hata mafanikio. Watoto wako watakuja kukulaaani.

6. Unajificha kwa jina badia, huu ni uoga na unafiki. Kwani ukitumia jina lako halisi watu watashindwa kuchangia!? Wewe ni mwoga umejaa maneno machafu mdomoni.
 
Back
Top Bottom