britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
wewe una habari hadi za kuungwa mkono na jk umeshindwa kuipata hiyo cv au unataka kutujazia jukwaa tu kwa pumba?
samahan nimekuudh kwa kutomtaja mahaba wako low watch haha naona misuli imekutoka
HahaAstaghfirul
Watu wana maonoHuu uzi watu waliupuuzia? Aisee, kumbe haikuwa hoax kihiivyo!
Hawa ni watu walioko jikoni kabisa, well accessed with valuable information.Huu uzi watu waliupuuzia? Aisee, kumbe haikuwa hoax kihiivyo!
Mzee upo jikoni sana nini?Kwa mfuatiliaji mzuri sana wa mambo ya siasa na Taifa ili tuna watu watatu ambao ni wa kuangalia kwa makini,
1.Makongoro Nyerere, Mzanaki
2. Muzamir kalokola - Mhaya
3. John Magufuli- Mzinza(Mchanganyiko muhaya na wasukuma au wasuubi wa biharamulo)
Ukabila mnaukataa lakin hawa viongozi wana utumia ili mambo yao yaende vema kwenye utawala, hii ni kutokana na kuwa na watu kwenye mifumo wanaoitajika
Mkapa aliwatetea sana wachaga na kuwapa sekta nyingi huko bandarini , kwenye ma bank na TRA,
Kikwete akawakumbatia wahaya Nshomile maana alijua kabila lake haliwezi kumsaport ndo maana akawaweka sana kwenye ngazi mbali mbali za siasa,
Suala linakuja hapa kuna muhaya Muzamiri anaibuka kuchukua form japo akili zake hakizo sawa saana, pamoja na kikwete kusapot wahaya lakin anaweza akaachana na kina Membe akaangalia mtu anayetokea kanda ya ziwa karibu na wahaya, hapo sioni Mwingine ni Magufuli, atakuwa katimiza matakwa ya Mkapa ya Mwitongo waliosema ama Makongoro au Magufuli mmoja awe rais, ni Mkristuuu, ni wa Kanda pendwa, pia hawa wote wawili rushwa kwao mwiko, japo naye akiendekeza ukabila anaweza kuwajaza wasukuma ambao kajinasibisha nao mpaka tukalia hahaha, ila wasukuma watamfelisha kwasababu kichwani hazimo sana
Ndo maana nasema Kikwete anamsapoti Muhaya muzamiri lakin CV yake ikiwa siyo tuna opt Magufuli, achana na wana maigizo wanaoenda kwenye makaburi eti kuomba baraka za mwalimu(Membe) au kina lowassa wanaonunua watu kujaza mikutano, huu ni muda wa wazee hawa kustaafu, tunataka damu changa,
Ndo maana wagombea wamekuwa wengi sana kupitia CCM ili tukimkata Bilali makamu wa rais, tukamkata Sitta Spika mstaafu, Sumaye waziri mkuu mstaafu, tukamkata Pinda waziri mkuu iwe rahisi kumkata Lowassa mwenye tamaa, ijenge mazingira kwamba kumbe mawaziri wakuu wastaafu na waliopo wamekatwa
Nasikia na Mwingine Wassira naye eti alitangaza nia, huyo atulie alivyo mlevi wa madaraka ukute akikatwa NEC ataenda kugombea ubunge tena nao anaweza kuukosa maana vijana wamebase sana kwa maendeleo si watu,
Sasa ntaanza kufuatilia nyuzi zako.Sijasema lazima awe Mzamiri nimentaja Makongoro, pia nikamtaja Magufuli, usichanganywe na kumtaja akiwa wa kwanza naweza kumtaja wa kwanza na hasiwe ila watatu akawa,
sawa kumbe masnitch tunao wengi humu jukwaani ii3. John Magufuli- Mzinza(Mchanganyiko muhaya na wasukuma au wasuubi wa biharamulo)
"Ukabila mnaukataa lakin hawa viongozi wana utumia ili mambo yao yaende vema kwenye utawala, hii ni kutokana na kuwa na watu kwenye mifumo wanaoitajika"
"Mkapa aliwatetea sana mtu anayetokea kanda ya ziwa ni Magufuli, atakuwa katimiza matakwa ya Mkapa ya Mwitongo waliosema ama Makongoro au Magufuli mmoja awe rais, ni Mkristuuu, ni wa Kanda pendwa, pia hawa wote wawili rushwa kwao mwiko, japo naye akiendekeza ukabila anaweza kuwajaza wasukuma ambao kajinasibisha nao mpaka tukalia hahaha, ila wasukuma watamfelisha kwasababu kichwani hazimo sana"
"Ndo maana wagombea wamekuwa wengi sana kupitia CCM ili tukimkata Bilali makamu wa rais, tukamkata Sitta Spika mstaafu, Sumaye waziri mkuu mstaafu, tukamkata Pinda waziri mkuu iwe rahisi kumkata Lowassa mwenye tamaa, ijenge mazingira kwamba kumbe mawaziri wakuu wastaafu na waliopo wamekatwa"
"Nasikia na Mwingine Wassira naye eti alitangaza nia, huyo atulie alivyo mlevi wa madaraka ukute akikatwa NEC ataenda kugombea ubunge tena nao anaweza kuukosa maana vijana wamebase sana kwa maendeleo si watu,"
Mkuu tuyaachesawa kumbe masnitch tunao wengi humu jukwaani ii
uzuri wake wote tuna bebishana kwa I'd fake
Mmmh, sasa hivi jamaa yako siyo mla rushwa tu bali anakula hadi nyama za watu, pia hawa wote wawili rushwa kwao mwiko..,
Hahaha, ila haya majitu bana hata likikutembelea kwako ukiamka usiku unaweza kumkuta yuko bafuni anaimba anajisifia anavyoonekana kwenye vioo vya bafu/chooila wasukuma watamfelisha kwasababu kichwani hazimo sana
,
Sasa ntaanza kufuatilia nyuzi zako.
Nimegundua baadhi ya mada zako zina mzaha lkn ndani yake zina ishu za maana sana.
Mbona mnafukua makaburi?Hata mods wenyewe ukute waliufekelea mbali usijadiliwe