Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Mkuu kumbe ulikuwa deep toka kitambo, uzi huu niliusoma na ku like lakini sikuchangia, leo nimekudurusu na kukusoma tena ndipo nikakutana na hizi nondo.Kwa mfuatiliaji mzuri sana wa mambo ya siasa na Taifa ili tuna watu watatu ambao ni wa kuangalia kwa makini,
1.Makongoro Nyerere, Mzanaki
2. Muzamir kalokola - Mhaya
3. John Magufuli- Mzinza(Mchanganyiko muhaya na wasukuma au wasuubi wa biharamulo)
Ukabila mnaukataa lakin hawa viongozi wana utumia ili mambo yao yaende vema kwenye utawala, hii ni kutokana na kuwa na watu kwenye mifumo wanaoitajika
Mkapa aliwatetea sana wachaga na kuwapa sekta nyingi huko bandarini , kwenye ma bank na TRA,
Suala hapa kuna muhaya Muzamiri akili zake hakizo sawa saana, pamoja na kikwete kusapot wahaya lakini anaweza akaachana na kina Membe akaangalia mtu anayetokea kanda ya ziwa karibu na wahaya, hapo sioni Mwingine ni Magufuli, atakuwa katimiza matakwa ya Mkapa ya Mwitongo waliosema ama Makongoro au Magufuli mmoja awe rais, ni Mkristuuu, ni wa Kanda pendwa, pia hawa wote wawili rushwa kwao mwiko, japo naye akiendekeza ukabila anaweza kuwajaza wasukuma ambao kajinasibisha nao mpaka tukalia hahaha, ila wasukuma watamfelisha kwasababu kichwani hazimo sana
Ndo maana nasema Kikwete anamopt Magufuli,
Hili la Wasukuma, ukabila na kichwani nakubaliana na wewe.
P