GE2015 Dr. Muzamili Mussa Kalokola, muhaya nshomile na Urais, infact Kikwete anamsapoti

GE2015 Dr. Muzamili Mussa Kalokola, muhaya nshomile na Urais, infact Kikwete anamsapoti

Mmmh, sasa hivi jamaa yako siyo mla rushwa tu bali anakula hadi nyama za watu


Hahaha, ila haya majitu bana hata likikutembelea kwako ukiamka usiku unaweza kumkuta yuko bafuni anaimba anajisifia anavyoonekana kwenye vioo vya bafu/choo
Dah
 
3. John Magufuli- Mzinza(Mchanganyiko muhaya na wasukuma au wasuubi wa biharamulo)

"Ukabila mnaukataa lakin hawa viongozi wana utumia ili mambo yao yaende vema kwenye utawala, hii ni kutokana na kuwa na watu kwenye mifumo wanaoitajika"

"Mkapa aliwatetea sana mtu anayetokea kanda ya ziwa ni Magufuli, atakuwa katimiza matakwa ya Mkapa ya Mwitongo waliosema ama Makongoro au Magufuli mmoja awe rais, ni Mkristuuu, ni wa Kanda pendwa, pia hawa wote wawili rushwa kwao mwiko, japo naye akiendekeza ukabila anaweza kuwajaza wasukuma ambao kajinasibisha nao mpaka tukalia hahaha, ila wasukuma watamfelisha kwasababu kichwani hazimo sana"

"Ndo maana wagombea wamekuwa wengi sana kupitia CCM ili tukimkata Bilali makamu wa rais, tukamkata Sitta Spika mstaafu, Sumaye waziri mkuu mstaafu, tukamkata Pinda waziri mkuu iwe rahisi kumkata Lowassa mwenye tamaa, ijenge mazingira kwamba kumbe mawaziri wakuu wastaafu na waliopo wamekatwa"

"Nasikia na Mwingine Wassira naye eti alitangaza nia, huyo atulie alivyo mlevi wa madaraka ukute akikatwa NEC ataenda kugombea ubunge tena nao anaweza kuukosa maana vijana wamebase sana kwa maendeleo si watu,"
Sure
 
Siku zote nafahamu hivyo na leo nimethibitisha kumbe ni kweli Bw. John Magufuli ni msubi.
 
Back
Top Bottom