Tang Zhou
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,206
- 2,591
Ndugu kama bado upo hai pita hapa, miaka mitatu mingi lkn kwa uhai wa mwanadamu!Wewe una habari hadi za kuungwa mkono na JK umeshindwa kuipata hiyo CV au unataka kutujazia jukwaa tu kwa pumba?
Ndugu kama bado upo hai pita hapa, miaka mitatu mingi lkn kwa uhai wa mwanadamu!Wewe una habari hadi za kuungwa mkono na JK umeshindwa kuipata hiyo CV au unataka kutujazia jukwaa tu kwa pumba?
HahahaNdugu kama bado upo hai pita hapa, miaka mitatu mingi lkn kwa uhai wa mwanadamu!
Nimerudi kubold na kupigilia mstari hapa...akina Bashite, watu tunahangaika bure kumbe yalijulikana tangu enzi😁😁Mwingine ni Magufuli, ....
hahaha, ila wasukuma watamfelisha kwa sababu kichwani hazimo sana
Mkuu tuyaacheeeNimerudi kubold na kupigilia mstari hapa...akina Bashite, watu tunahangaika bure kumbe yalijulikana tangu enzi😁😁
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu tuyaache
Hahaha mi ni mlala hoi wa kawaida tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
sitoshangaa kusikia
Britannica ndiye DG wa TISS
jingalao ndiye bashite
johthepatist ndiye "KICHAA"
getacymine ndiye general wa wwtz
sema kwa yote wote tunatukanana humu pasipo kujali vyeo vyenu via FAKE ID
3. John Magufuli- Mzinza(Mchanganyiko muhaya na wasukuma au wasuubi wa biharamulo)
"Ukabila mnaukataa lakin hawa viongozi wana utumia ili mambo yao yaende vema kwenye utawala, hii ni kutokana na kuwa na watu kwenye mifumo wanaoitajika"
"Mkapa aliwatetea sana mtu anayetokea kanda ya ziwa ni Magufuli, atakuwa katimiza matakwa ya Mkapa ya Mwitongo waliosema ama Makongoro au Magufuli mmoja awe rais, ni Mkristuuu, ni wa Kanda pendwa, pia hawa wote wawili rushwa kwao mwiko, japo naye akiendekeza ukabila anaweza kuwajaza wasukuma ambao kajinasibisha nao mpaka tukalia hahaha, ila wasukuma watamfelisha kwasababu kichwani hazimo sana"
"Ndo maana wagombea wamekuwa wengi sana kupitia CCM ili tukimkata Bilali makamu wa rais, tukamkata Sitta Spika mstaafu, Sumaye waziri mkuu mstaafu, tukamkata Pinda waziri mkuu iwe rahisi kumkata Lowassa mwenye tamaa, ijenge mazingira kwamba kumbe mawaziri wakuu wastaafu na waliopo wamekatwa"
"Nasikia na Mwingine Wassira naye eti alitangaza nia, huyo atulie alivyo mlevi wa madaraka ukute akikatwa NEC ataenda kugombea ubunge tena nao anaweza kuukosa maana vijana wamebase sana kwa maendeleo si watu,"
tupo zetu tunateseka na ndoto zakoHapo.man
Kuna uzi huu huwa natamani niukanetupo zetu tunateseka na ndoto zako
wewe si wamchezomchezo hizi wala sio ndotoKuna uzi huu huwa natamani niukane
ICC alichomoka Kenyatta na kesi ya mauaji sembuse Magufuli?!! - JamiiForums
Washamba mnaokopi na kupesti Imperialist culture,stupidity all for those who regard sukuma community as subhumansMmmh, sasa hivi jamaa yako siyo mla rushwa tu bali anakula hadi nyama za watu
Hahaha, ila haya majitu bana hata likikutembelea kwako ukiamka usiku unaweza kumkuta yuko bafuni anaimba anajisifia anavyoonekana kwenye vioo vya bafu/choo
F**k off clueless cunt!Washamba mnaokopi na kupesti Imperialist culture,stupidity all for those who regard sukuma community as subhumans
MhWewe una habari hadi za kuungwa mkono na JK umeshindwa kuipata hiyo CV au unataka kutujazia jukwaa tu kwa pumba?
HahahahaDuh! Ajabu ni pale unapoona mtu chotara wa kihaya na kisubi sijui mzinza anajinasibisha na usukuma! Ha ha haaaaaaaa!! Twafwaaa
YesHuu uzi watu waliupuuzia? Aisee, kumbe haikuwa hoax kihiivyo!
SureHuu uzi watu waliupuuzia? Aisee, kumbe haikuwa hoax kihiivyo!