DR. Mwaka amesoma CUBA hongera sana kaka

Daah hakuna Msomi hapo...ukiambiwa leta wasomi ukampeleka huyo unakula bakora za kutosha..
 
Kama usomi ndo kama vile basi bora tusipoteze ela kusoma tukafanye mambo mengine tu hata ya kilimo!
 
uganga njaa kivipi kivipi mkuu wakati watu wanapona ?
Ajiite mganga wa kienyeji lakini siyo daktari. Maana , huu udaktari una vigezo vyake mwanangu hata kama hatukubaliani navyo. Nakumbuka walikuwapo akina profesa Vulata, Majimarefu na matapeli wngine waliojipachika vyeo wasijue uzito wake.
 
Huyo mwanamke alimwacha Mwanaume wake kwa dharau kubwa na Dhihaka, wakiishi Masaiti - Tegeta!

Ki ufupi Doctor Mwaka alivunja Ndoa ya Mwanaume mwenxake kabla yake....!

Hii mambo ya kusema Ngoja nikatafute Tiba mbadala, basi ikatafutwa Tiba mbadala mpaka ikavunja Ndoa.

Karma is really!
 
Ajiite mganga wa kienyeji lakini siyo daktari. Maana , huu udaktari una vigezo vyake mwanangu hata kama hatukubaliani navyo. Nakumbuka walikuwapo akina profesa Vulata, Majimarefu na matapeli wngine waliojipachika vyeo wasijue uzito wake.
nakubaliana na wewe lakini mwaka yupo tofaouti na hao uliowataja tena tofauti yao ni kwa vitendo

dokta mwaka kwa upande wa nidhamu ya uoga hiko kitu ajaumbwa nacho
 
Wewe... una uhakika?
 
ha ha 🤣🤣🤣🤣
 
nakubaliana na wewe lakini mwaka yupo tofaouti na hao uliowataja tena tofauti yao ni kwa vitendo

dokta mwaka kwa upande wa nidhamu ya uoga hiko kitu ajaumbwa nacho
Bila guts hakuna matapeli. Ndivyo walivyo hao. Wanaposaka tonge, hawafuati wala kuogopa sheria yoyote mwanangu
 
Ndio nasikia alikua na ndoa ya kanisani mwaka akaivunja akamuoa
 
Bila guts hakuna matapeli. Ndivyo walivyo hao. Wanaposaka tonge, hawafuati wala kuogopa sheria yoyote mwanangu
mwaka yeye yupo tofauti kaka tena yeye akiongea kitu kinaeleweka tofauti na waganga njaa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…