DR. Mwaka amesoma CUBA hongera sana kaka

mwanaume wa kweli hawezi toa talaka, yeye ni kichwa. Inarekebisha hata yaliyoshindikana, wanaume wa kweli na wanaume halisi hawatoi talaka wala hawaachi. Ni wale wanaume wachache tu washamba na wasiojitambua ndio hufanya kutoa talaka kukimbia tatizo lakini wanaume wa kweli anatatua tatizo (mwanaume ni director wa familia, innovator wa familia, problem solver wa familia, mwanaume ni final say wa familia). HAKUNA TALAKA KWA MWANAUME ANAYEJITAMBUA HALOO! 😎
 
Sijakuelewa. Sijui kama hata nawe unaelewa unachosema. Una uzoefu wowote wa ndoa? Kutoa au kutotoa talaka ni la wahusika. Kwani walipopendana hawakulazimishwa. Kadhalika, wakiamua kuachana ni haki yao. Usijumuishe na kudhani wote wana maoni na mawazo kama yako mwanangu.
 
umeuona ule uwezo wa kuongea kwa yule mwanamke yule ni mwaka niamini maana ukiwa unaishi na mtu makini lazima uwe vizuri

Father of All
 
mwanaume wa kweli hawezi toa talaka, yeye ni kichwa. Inarekebisha hata yaliyoshindikana, wanaume wa kweli na wanaume halisi hawatoi talaka wala hawaachi. Ni wale wanaume wachache tu washamba na wasiojitambua ndio hufanya kutoa talaka kukimbia tatizo lakini wanaume wa kweli anatatua tatizo (mwanaume ni director wa familia, innovator wa familia, problem solver wa familia, mwanaume ni final say wa familia). HAKUNA TALAKA KWA MWANAUME ANAYEJITAMBUA HALOO! 😎
nakubaliana na wewe

nahisi utakuwa umesoma CUBA
 
Huyo mwanamke alimwacha Mwanaume wake kwa dharau kubwa na Dhihaka, wakiishi Masaiti - Tegeta!

Ki ufupi Doctor Mwaka alivunja Ndoa ya Mwanaume mwenxake kabla yake....!

Hii mambo ya kusema Ngoja nikatafute Tiba mbadala, basi ikatafutwa Tiba mbadala mpaka ikavunja Ndoa.

Karma is really!
kaka wanawake wanapenda mambo mazuri sio kila siku unalilia tu

karma is not really
 
Huyo mwanamke alimwacha Mwanaume wake kwa dharau kubwa na Dhihaka, wakiishi Masaiti - Tegeta!

Ki ufupi Doctor Mwaka alivunja Ndoa ya Mwanaume mwenxake kabla yake....!

Hii mambo ya kusema Ngoja nikatafute Tiba mbadala, basi ikatafutwa Tiba mbadala mpaka ikavunja Ndoa.

Karma is really!
Hii stori Ina uhalisia au ni mawazo yako?
 
mwanaume wa kweli hawezi toa talaka, yeye ni kichwa. Inarekebisha hata yaliyoshindikana, wanaume wa kweli na wanaume halisi hawatoi talaka wala hawaachi. Ni wale wanaume wachache tu washamba na wasiojitambua ndio hufanya kutoa talaka kukimbia tatizo lakini wanaume wa kweli anatatua tatizo (mwanaume ni director wa familia, innovator wa familia, problem solver wa familia, mwanaume ni final say wa familia). HAKUNA TALAKA KWA MWANAUME ANAYEJITAMBUA HALOO! 😎
So mwanamke akichepuka na akapata VVU, ukamgundua ila Mungu akakusaidia usiambukizwe, utabaki naye?
 
Huyo mwanamke alimwacha Mwanaume wake kwa dharau kubwa na Dhihaka, wakiishi Masaiti - Tegeta!

Ki ufupi Doctor Mwaka alivunja Ndoa ya Mwanaume mwenxake kabla yake....!

Hii mambo ya kusema Ngoja nikatafute Tiba mbadala, basi ikatafutwa Tiba mbadala mpaka ikavunja Ndoa.

Karma is really!
Daah nilisikia hii story na huyo mwanamke alifunga ndoa kabisa na huyo jamaa alikua safi mambo ilivyobadilika kidogo tuu akatimkia kwa Dokta Pimbi ila jamaa nasikia alioa tena na maisha yanaendelea...kweli Karma is real..
 
kaka hizo radio mbao hamna kitu kama hiko

EDUCATION iN cuba is really
 
Sijakuelewa. Sijui kama hata nawe unaelewa unachosema. Una uzoefu wowote wa ndoa? Kutoa au kutotoa talaka ni la wahusika. Kwani walipopendana hawakulazimishwa. Kadhalika, wakiamua kuachana ni haki yao. Usijumuishe na kudhani wote wana maoni na mawazo kama yako mwanangu.
PIA USIDHANI KILA MTU ANA MAONI KAMA YAKO MWANANGU, NDIO MAANA MADA IMELETWA HUMU KILA MTU ALETE ANAVYOAMINI NA ANAVYOONA
 
Huyo mwanamke alimwacha Mwanaume wake kwa dharau kubwa na Dhihaka, wakiishi Masaiti - Tegeta!

Ki ufupi Doctor Mwaka alivunja Ndoa ya Mwanaume mwenxake kabla yake....!

Hii mambo ya kusema Ngoja nikatafute Tiba mbadala, basi ikatafutwa Tiba mbadala mpaka ikavunja Ndoa.

Karma is really!
Si alifata pesa haya sasa apambane na hali yake
Au kampata mwanaume mwenye kisu kikali zaidi ya mwaka [emoji1] ndy anataka kwenda

Ova
 
ova

mwanamke yule tamaa ndiyo inapeleka peleka

do you copy ova
 
Back
Top Bottom