DR. Mwaka amesoma CUBA hongera sana kaka

wasomi wote wa Cuba tuonane hapa

Yule mwanamke alijipanga maana nimeona tamaa za wazi kisa kale kajumba ndio analeta vilio na unafiki mitandaoni

salute kwa wasomi wa CUBA .

View attachment 2510651
Hakuna aliyesoma cuba ambaye hajui nini kipo mbele ya ujinga huo?Hivi unadhania eti kukataa kutoa talaka ili msigawane mali kwa sheria za sasa ni ujanja?!wangapi walikataa kutoa talaka ,lakini ndoa zilivunjwa na mahakama na mali zikagawanywa??eti na wewe umesomea CUBA!!!kama ni HAITI sawa,cuba ipe heshima yake.
 
Ajiite mganga wa kienyeji lakini siyo daktari. Maana , huu udaktari una vigezo vyake mwanangu hata kama hatukubaliani navyo. Nakumbuka walikuwapo akina profesa Vulata, Majimarefu na matapeli wngine waliojipachika vyeo wasijue uzito wake.
Acheni Unoko Mwaka ni Mganga sawa ila usimlinganishe na Madaktari Uchwara wa Tz hii. Mwaka Daktar wa Manesi kabisa.
 
Hakuna aliyesoma cuba ambaye hajui nini kipo mbele ya ujinga huo?Hivi unadhania eti kukataa kutoa talaka ili msigawane mali kwa sheria za sasa ni ujanja?!wangapi walikataa kutoa talaka ,lakini ndoa zilivunjwa na mahakama na mali zikagawanywa??eti na wewe umesomea CUBA!!!kama ni HAITI sawa,cuba ipe heshima yake.
Mke wa ‘Dokta Mwakai’ haikuwa ndoa yake ya kwanza.

Aliwai kuolewa na mchizi anaitwa ‘P’ huyu jamaa alikuwa na hela pale nyumba ya sanaa miaka hiyo alikuwa ana tunza wanamuziki wa band $ sio TSH ila jamaa baadae akafirisika yule maza akasepa ndio akaolewa na Dokta. KIFUPI [emoji2320] +[emoji389]
 
inshu sio kuolewq mala ngapi ,hiyo ndio inamfanya akose haki yake kwenye ugawanaji mali?
 
Back
Top Bottom