Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

DR MWAKA NAKUUNGA MKONO.

KUWA MCHUNGAJI AU SHEHE SIO TIKETI YA UTAKATIFU. UNAWEZA KUWA SHETANI KAMA SHETANI WENGINE.
KWENDA KUOMBEWA KWA SHEHE AU MCHUNGAJI SION KAMA NI TATIZO,TENA BORA YA KWENDA KWA HAWA KULIKO KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI.

USHAHIDI WA MATENDO YA HAWA WATU NI MENGI.
MIMI NATOA HUU👇

KUNA MTUMISHI MMOJA ANAJIITA APOSTLE D.M, ANA KANISA LAKE KULE BOKO, DSM. ANAENDESHA GARI YA DISCOVERY NYEKUNDU. KAZAA NA ALIYEKUWA MWANA KWAYA WAKE, ANAITWA ERICA (MCHAGA) MTOTO WAO NI WA KIKE, MIAKA 2.5 SASA. NA ALIMPANGISHIA NYUMBA ENEO LA MIVUMONI UMOJA ROAD, TEGETA DSM.YEYE MTUMISHI (WA MUNGU!!) ANAISHI MASHAMBA YA JESHI (TEGETA WAZO HILL).KWA SASA BINTI ANAISHI BUGURUNI KWA MZAZI WAKE. HUYU JAMAA ANA VIPINDI VINGI VYA TV PALE WASAFI.

NINA NGUVU YA KUANDIKA HAYA SIO KWA NIA YA KUCHAFUA MTU, BALI KUUWEKA WAZI UKWELI.
 
Naona Dr Mwaka ameamua kupasua jipu, Mambo ya kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile, uzinzi na ulevi naona yametajwa hapo

Dr Mwaka anakuambia Watanzania wa sasa sio wajinga wanawajua masheikh wazuri na masheikh waovu na wachafu tena walawiti na ushahidi anasema anao kiruuu!!!

Nakumbuka kuna kiumbe mmoja kutoka USA los angels California aliwahi kuyasema haya tukamuona hana akili haya sasa naona mambo yamefika pabaya

Natamani ningekua nakauhuru na mimi nipasue jipu paah!!Sipendagi unafiki mimi kabisa niliwahi kusema humu kwamba kuna watu wachafu na wasafi, kuna watu ni wachafu mno hata hawafai kuelezewa walivyo wachafu

Hii video dr Mwaka kajitoa kwakweli, hii vita inaonekana imeanza kupamba moto kikamilifu
 
Back
Top Bottom