Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Uzi umeuandika ki kikekike Sana. Maneno na michambo yako imekaa ki kikekike sana.
 
Mbona hata sioni sababu ya Dr. Mwaka kuongea yote hayo maana Sheikh Alhaj alichoongea kingebaki kama mtazamo wake tu sasa hayo ya kulawiti yanatoka wapi au Dr. Mwaka alienda kwa Mwamposa?
Soma quote namba 17, Mwamposa anahusikaje hapa?
 
Kwa hio kuwatomba wake zake wawili kwa pamoja sio kitu kizuri au mimi sijaelewa vizuri?

Yaan mimi nioe wake zangu wawili alafu mtu aje kunipangia jinsi ya kuwatomba?
Kweli?
Sasa Dini ya hakhi haijaruhusu hivyo. Inahitaji kila mke akae kwake Mwanaume umfuate
 
Watafute ulingo waandae pambano tuweke pesa wachapane ngumi.

Majibizano na kutupiana maneno ni kupoteza muda.
Waache wajibizane kwenye mitandao tujue Siri zao. Kumbuka MTU mwenye hasira huongea ukweli wote.
Kama sio haya majibizano Tungejuaje? I ask you?
 
Kamtaja wapi Kigwangala? Acha uchonganishi
Mzee mbona umeshindwa kuelewa vitu vidogo tu? Jamaa kasema kuwa Dr. Mwaka vs Kigwa ilikuwa kipindi kile sasahivi huyo mwaka kaanzisha vita nyingine na mtu mwingine
 
Kwa hiyo si sawa, kwa mfano makanisani huwa kuna maombi ya kuliombea taifa na hususani kumuombea rais wa nchi sasa ina maana maombi hayo yanayofanyika makanisani kumuombea rais muislam ni batili na kamwe Mungu hayasikii??!!
Sio kweli tunaruhusiwa kuombeana.. haijarishi wewe ni dini gani
 
Dhambi ya kumlinganisha Mungu na magufuli haiwezi kumuacha MTU salama. Kalamaganda Yuko wapi?
Lugola alichukua raundi?
Mwanrikasomea mpaka uinjilisti .....
 
Back
Top Bottom