Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Kwani uyo sheikh alimfanya nn huyo jamaa mpk akabwatuka tupewe majibu mji una mengi huu๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Kama sijakosea Kuna kipind fulani alizungumzika ishu ya Dr mwaka kulala na wanawake wake kitanda kimoja kwa wkati mmoja nakumbuka Tena ni kipind kile Dr mwaka alihojiwa na WA wake Zake aksema analala nao wote kwa pamoja,pia picha zipo kibao zikimuonyesha akilala na wake Zake kwa pamoja na kufanya tendo la ndoa ,sasa hao mashekhe hususani huyo shekhe alisema sio kitu kizuri akasema mambo mengi tu kwamba haifai sasa ndo bifu lilianza hapo..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ daah mji huu una mambo mwngi saNa aisee
 
sasa hao mashekhe hususani huyo shekhe alisema sio kitu kizuri akasema mambo mengi tu kwamba haifai sasa ndo bifu lilianza hapo.
Kwa hio kuwatomba wake zake wawili kwa pamoja sio kitu kizuri au mimi sijaelewa vizuri?

Yaan mimi nioe wake zangu wawili alafu mtu aje kunipangia jinsi ya kuwatomba?
Kweli?
 
Basi ndio itakuwa sababu Dr Mwaka alikuwa kamuwekea kinyongo Sheikh wa mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ