Dr. Mwaka amjibu Sheikh wa mkoa wa Dar

Kwa vile sheikh aliongelea yanayomhusu Dr. Mwaka, ni sawa na yeye kujibu. Kwani sheikh katajwa? yeye Dr. Mwaka kaongelea ukweli na kwa jumla jumla tu/ Ana haki ya kuongea au kwa vile sheikh wa mkoa kajihisi!
Ukweli tutaujua kwa ushahidi kinyume na hivyo alichofanya Mwaka ni tuhuma tupu, halafu hizo tuhuma sio ngeni Mange kimambi alishazisema pia, sasa Mwaka inaonesha amekasirishwa au labda yeye ndio alitaka Sheikh asiongee au kukosoa anapoona jambo halipo sawa kisa tu yeye Mwaka anajua mambo ya faragha ya Sheikh ambayo Mwaka mwenyewe haku yathibitisha ni tuhuma tu..
 
Hurusiwi kukemea kwa waziwazi mpaka kila mtu anajuwa unamuongelea nani. Kwa nini sheikh mhusika asingemuita na kuongea naye kistaarabu, au viongozi wa dini ustaarabu hauwahusu.
Sheikh angejuaje kama Mwaka huwa analala na wake zake kitanda kimoja? Ni mwenyewe mwaka ndio aliweka wazi hilo suala.
 
Nionyeshe ni wapi pameandikwa marufuku mwanaume wa kiislam kulala na wake zake wawili kwa pamoja weka bandiko? Hayo maswala mengine hayanihusu
Saa zingine tumia utashi wako Mungu aliyokujalia kungaamua baadhi ya Mambo,siyo umekariri kila kitu lazima kiandikwe kitabuni!! Je hivyo vitabu unavyosema wwe visingeaandikwa ungeishiijee!!??
 
Masheikh hawajabuni dini au mafundisho ya dini, nadhani umenielewa.
 
Saa zingine tumia utashi wako Mungu aliyokujalia kungaamua baadhi ya Mambo,siyo umekariri kila kitu lazima kiandikwe kitabuni!! Je hivyo vitabu unavyosema wwe visingeaandikwa ungeishiijee!!??
Hujaelewa nini mkuu hio ni faragha ya mtu unaingiliaje faragha ya mtu unafanya makosa..
 
Nimewasikiliza wote Sheikh na huyo Bwana Mwaka na sioni mantiki ya Bwana Mwaka kumjibu vile Sheikh Alhadi. Ni kuendeleza malumbano yasiyo na faida.

Kama unamjua kuwa Sheikh fulani siyo mwema si umuache tu uende kwa mwingine?
Aachwe tuu ili aendeleze mambo yake ya kupuuzi kwa joho la dini?? Lazima anyoooshwe
 
Sahihi kabisa.. Pia Mange Kimambi aliwahi kumlipua Shehe mmoja wa hapo Dar (jina kapuni) kwamba ana tabia chafu ya kuzibua mifereji ya maji taka ya wanawake...tena mpaka wake zake..
 
Alitoa sababu na ushahidi wa aya au hadithi za Mtume kwamba kulala nao kitanda kimoja si sahihi? Kiukweli kama wake wote wanaridhia kulala pamoja mbona iko poa sanaa hiyo?? Wakati unamchakata wa upande wa kulia wa upande wa kushoka anakusaidia kushika miguu, mashine ikilala wanashiriana kuisimamisha.. Honestly this is so awesome and exciting experience.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
😂😂😂Walikuwa wanatafuta a mda wacha waparangane maan wake wa Dr mwaka walisema wao wameridhia,shekhe akaleta ujuaji!
 
Haha it will be wonderful moment Jambo kama Hili litatokea kwenye Maisha Yangu
 
Na hata hivyo mambo yake ya faragha hayakutakiwa kuwekwa hadharani.

Jamani tunakwenda wapi sisi binaadamu?
 
Kwa hiyo si sawa, kwa mfano makanisani huwa kuna maombi ya kuliombea taifa na hususani kumuombea rais wa nchi sasa ina maana maombi hayo yanayofanyika makanisani kumuombea rais muislam ni batili na kamwe Mungu hayasikii??!!
Kumbuka muombewa ili apate matokeo, lazima amkili yesu, kuwa ndiyo muokozi wake, maana hakuna haja ya Imani nyingine.
 
Hayo ni maamuzi ya mtu km alale na mmoja au alale na wote maana wote ni wake zake usimpangie jinsi ya kuwahudumia kindoa au kwa maana ya ndani usimpangie jinsi ya kuwatomba ushaelewa..
Kwa mujibu ya imani gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…