Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 137
Asante kwa elimu,mkuu, ila naomba kuuliza kama nikipeleka hii kama evidence kwa ofisi ya bunge kuwa mbunge Zitto Kabwe alikuwa yuko online wakati wa kikao cha bunge, sheria itaonyesha kuwa niko sahihi hayo yote uliyosema ni theoretical, ila computer imeonyesha he was logged on and that is what counts... so what my point is ni kuwa tukianza kujaribu kufuatilia every little issue kwa mbunge kuna mambo mengi tunaweza kupata as misdemeanour etc, akiwemo mheshimiwa huyu mnayemtetea sana.
Kwani hawezi kuwa logged on bila ya kuwa mbele ya computer yake? Au kuwa logged on kwenye simu? What are you trying to prove here?
If you are trying to prove mbunge hashughulikii shughuli zake za bunge kwa wakati fulani utahitaji zaidi ya haya mambo ya mtandao, kwanza huna hata uhakika kwamba huyu anayeingia hapa kwa jina la Zitto ndiye Zitto mwenyewe, can you prove that?