Samwel
JF-Expert Member
- Mar 25, 2007
- 224
- 8
.Vipi bwana mbona unaingia personal.....wewe ushabiki wako niuiteje? acha ufala dogo
Ok.leo ndiyo unakumbuka kuwa kuna personal? unajuaje mimi ni dogo kwako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Vipi bwana mbona unaingia personal.....wewe ushabiki wako niuiteje? acha ufala dogo
.
Ok.leo ndiyo unakumbuka kuwa kuna personal? unajuaje mimi ni dogo kwako?
Heri yako wewe Mkyela.....tuache watanzania tunajua tunachohitaji!
Ndugu zangu, ............................................. Suala hili ni zito sana. Ni kashfa ambayo inaweza kuwa ya historia na ni kashfa ambayo inaweza kubadili mfumo uliojikita ambao sisi wenye madaraka fulani fulani tunafaidika na uoza uliopo. Hili sio jambo la kuchezeachezea hata kidogo. Kumbukeni kashfa ya malipo ya aina hii ilimwangusha Spika wa Uingereza hivi majuzi..........
hili suala kwani ni rushwa au double payment, kama ni double payment sio suala la takukuru bali polisi, cag na la kiutawala zaidi.Jamani Watanzania tusichanganye MADAWA- Hapa TAKUKURU inataka kutekeleza wajibu wake. Sheria na Kanuni za malipo ya Posho zinasema Mtumishi au Mtu au Taasisi haiwezi kulipwa zaidi ya mara moja kwa ajili ya suala hilo hilo. Sasa hawa Wabuneg wanalipwa Posho za kujikimu (Subsistance Allowance) na Ofisi za Bunge, Lakini wakienda kwenye Taasisi au Mashiriki ya Umma au Serikali za Mitaa wanalipwa tena posho za kujikumu (Subsistance Allowance) kwa shughuli hiyo hiyo ambayo Bunge imeshawalipa.
Hapa kuna posho za aina mbili ambazo tusizishanganye. Posho ya kujikimu (Subsistance Allowance) na posho ya Kikao (Sitting Allowance). Wao Wabunge walitakiwa kulipwa posho za Vikao (Sitting Allowance) kama wanatembelea Mashirika ya Umma na kukawepo na Vikao vya kupitia taarifa ya Mashirika au Taasisi hizo na siyo kulipwa posho ya Kujikimu.
Suala la kuhojiwa kwa Wabunge na TAKUKURU- Huu ndiyo urasimu ambao hata wabunge wenyewe wanaihoji Serikali kutowachukulia hatua watuhumiwa wa sakata la RICHMOND. Unajua kila unapotaka kufanya suala la maendeleo Tanzania unakuta kuna URASIMU MKUUUUUUBWWWWAAAAAA!!! ambao mpaka unapo kamilisha taratibu zake kunakuwa hakuna maana tena. mini nasema acha wahojiwe.
Mapadri wa Roma wanamsemo wao mzuri sana nami hua naupenda nami leo nawapeni unasema hivi:
"MBWA HUBWEKA SANA ANAPOONA CHAKULA CHA BWANA WAKE KINALIWA NA MTU MWINGINE. LAKINI MBWA HUYO HUYO ANAPOKULA CHAKULA HICHO CHA BWANA WAKE BILA RIDHAA YA BWANA WAKE - HUWA MKALI PALE ANAPOKATAZWA KUENDELEA KUKILA"
Kama ufisadi ni kutumia Tshs. 10,000/- za wanakijiji na kunapelekea Afisa Mtendaji wa Kijiji ahojiwe na kufuikishwa Mahakamani, inakuwaje suala la Wabunge kuchukua Posho mara 2 na wanapotakiwa kuhojiwa INAKUWA SUALA LA OOOO!!!!, UNAJUA!!!. Jamani ACHENI UMBUMBUMBU fungeni macho na msiwe BENDERA KUFUATA UPEPO.
Mheshimiwa,
Timing ya kuwahoji hawa wabunge wakiwa wanajiandaa kwenda bungeni kwenye sakata la richmod nadhani ndo limeleta shida. Pia kuhoji kwa kutumia simu hapo sijui sheria inasemaje. Pia Utumishi watoe mwongozo wa serikali nzima kuhusu haya mambo ya allowance kwani Kuanzia Mawaziri, Makatibu wakuu, wakurugenzi n.k hii kitu inawakumba siyo wabunge peke yao.
Wewe ni kiazi sana! Samahani kukuita hivyo....waende Mahakamani ...kwa kuna shida gani?
Jee akikataa kwenda huko Mahakani waende wapi tena?
nini tafsiri ya rushwa? ni pale mpokeaji anapoomba hiyo rushwa ili iwe kichocheo cha maamuzi yake, kwa faida ya mtoaji, au mtoaji anapotoa rushwa kwa mpokeaji kwa ajili ya mchochea mpokeaji atoe uamuzi kwa faida ya mtoaji.
pili sheria inasema wote ni wakosaji yaani mtoa na mpokeaji, kizuizi ni ikiwa kuna aliye toa taarifa kwa mamlaka husika kwamba fulani kaniomba au fulani anataKA kunipa rushwa.
sasa kwenye hili suala je kulikuwa na nia ya kuinfluence maamuzi? na je hayo maamuzi yalikuwa infavour of mtoaji?
je mtaoji wameulizwa hili kwa maana ya kuhojiwa na takukuru, sababu za kutoa hiyo rushwa? au ilikuwa ni takrima ambayo ilikuwa na nia ya ku-influence uamuzi wa wabunge lakini haikuwa hivyo?
Unategemea ni kujibu nini hapa?
Nipe jibu kwanini Mheshimiwa anakataa kwenda kutoa maelezo ya kuisaidia Takukuru..
Unategemea ni kujibu nini hapa? Mahakani au una maana Mahakamani....tk
Do your home work ameanisha sababu za kutokwenda na akawaambia wakutane mahakamani....need more?