Easy Chair Mark III
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 897
- 1,369
Alimtimua!
Aliondoka!
Hakusema kitu tujue ukweli wake!
Hakumsema chochote aliemtoa kwenye nafasi,alinyamaza kimya!
Hakutoa makala au kuandika kitabu chochote au kufanya interview yoyote kusema her side of story!
Yaliisha akaenda na maisha yake bila tatizo na mtu!
Leo bado mwenye utukufu wote anamsema mtu mnyonge asieweza hata kujibu lolote!
Mwanamke mnyonge,asie na power yeyote!
Hivi kuna nini bwana mkubwa anakiogopa sana kutoka kwa huyu mwanamke!
Kuna kitu very serious wrong na huyu raia!
Ukishafukuza,ukaweka wengine,watu washa move on,huna ya kufanya makubwa zaidi ya haya kumsengenya mtu ambae ulishamtolea hukumu siku nyingi?
Hata Mimi nashangaa sana.
Unajua siyo kitu kizuri KWA mwanaume kugombana au kuzozana NA mwanamke kulingana NA utamaduni wa kiafrika. Mwanamke mwingine ktk ugomvi Kama huu anaweza kukudhalilisha KWA umma, anaweza kusema kuwa "ulimtongoza kisha akakulkatalia" ndio maana unamsakama sana.