Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Aiseee!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍😍😍 Laiti nyumbu wangeng'amua hili japo kwa juu juu wangeona jinsi gani akili zao zilivyo mavi
Hivi unaanzaje kuificha Ebola? Zaidi ya mwezi sasa haijau angalau watu 500?pathetic, aliewapa jina nyumbu hakukosea
Kwa hiyo una maanisha kiongozi wetu hana kifua cha kubeba mambo? Kama hana basi atakua kiongozi wa ajabu kuwahi kutokea.
Na Yeye Mtampoteza?Angalia mkono wako. Hii ni Tanzania usiandike jambo huna ushaidi ukaisumbuwa nafsi yako. Hili nitaifa kamili.
Mijadara kama hii inamuinua sana JPM kwenye nyanja za kimataifa hasa kwa watu makini.Binafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.
Kwani ni lazima kusema kila Jambo linalomfurahisha au kumkera Sana?
Suala la Dk. Mwele lilishapita na hakutakiwa kulizungumzia tena kwa kuliunganisha na taasisi za kimataifa ambazo kesho na kesho kutwa tutahitaji msaada wao pale ambapo magonjwa ya mlipuko yatakapo tokea.
Jana nimeona BBC NEWS habari kubwa ilikuwa ni Raisi kumpongeza Ofisa aliye charaza wanafunzi viboko.
Huu nao pia ni mjadala mkubwa ambao ameuanzisha na hauna tija. Chanzo cha mjadala huu ni hotuba yake aliyoitoa Jana.
Mh. Raisi ajitahidi kuwa na kifua cha kuifadhi mambo hata kama yanamfurahisha au kumsikitisha.
Nitakufa nikiitumikia nchi yangu.TEh!!wewe utakufa na nini?!
Hivi ebola ina hitaji uchunguzi? Unafikiri iko kama kikohozi ile?Wanaokufa na kufariki hospitalini na majumbani mwa watu, nani amethibitisha kuwa si ebola au zika kwa jinsi uchunguzi ulivyobanwa kama mijutano ya Chadema na ACT - Wazalendo?
Nimekwambia, sheria ya takwima na utafiti haikuja kwa bahati mbaya, ni kwa kudanganya uhalisia wa mambo.
Wagonjwa wawili wa ebola, uchunguzi haujatolewa mpaka wafike 25.
Ni neema ya Mungu tu, likilipuka mojawapo hutasema wewe.
Uwazi husaidia hata jamii kuelimishana.
Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Haya nambo ni makubwa sana yapo juu ya uwezo wako wa kufikiri!Alimtimua!
Aliondoka!
Hakusema kitu tujue ukweli wake!
Hakumsema chochote aliemtoa kwenye nafasi,alinyamaza kimya!
Hakutoa makala au kuandika kitabu chochote au kufanya interview yoyote kusema her side of story!
Yaliisha akaenda na maisha yake bila tatizo na mtu!
Leo bado mwenye utukufu wote anamsema mtu mnyonge asieweza hata kujibu lolote!
Mwanamke mnyonge,asie na power yeyote!
Hivi kuna nini bwana mkubwa anakiogopa sana kutoka kwa huyu mwanamke!
Kuna kitu very serious wrong na huyu raia!
Ukishafukuza,ukaweka wengine,watu washa move on,huna ya kufanya makubwa zaidi ya haya kumsengenya mtu ambae ulishamtolea hukumu siku nyingi?
Haya nambo ni makubwa sana yapo juu ya uwezo wako wa kufikiri!
Kwa hiyo kama aliongea kwa uchungu tufanyeje, Hili suala la zika na Mwele mbona limeshakuwa la kitambo sana. Huyo muandaa hotuba wa rais ndio kalikumbuka juzi......Tena niliona kama Rais ameongea kwa uchungu sana aiseeee
That is a crap....
tuonyeshe hiyo zika iko wp!?
2020 CHADEMA twende na Dr. Nywele McheleThesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Kwahiyo unamaanisha ya DAKITARI wetu mkubwa mkubwa haipo gugo sio. Huko gugo kwenu ni kwa mabeberu, thesis za madaktari wetu tumezihifadhi samungeThesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Katika hili Magu is right mbona hako kagonjwa alikosema mbombezi wa magonjwa hakakuendelea? Au aliondoka nako? Maana mwele dr alikuwa sahihi tungeendelea kusikia ama kushuhudia watu wakifa. Lakini kimyaaaa