Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Binafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.

Kwani ni lazima kusema kila Jambo linalomfurahisha au kumkera Sana?

Suala la Dk. Mwele lilishapita na hakutakiwa kulizungumzia tena kwa kuliunganisha na taasisi za kimataifa ambazo kesho na kesho kutwa tutahitaji msaada wao pale ambapo magonjwa ya mlipuko yatakapo tokea.

Jana nimeona BBC NEWS habari kubwa ilikuwa ni Raisi kumpongeza Ofisa aliye charaza wanafunzi viboko.

Huu nao pia ni mjadala mkubwa ambao ameuanzisha na hauna tija. Chanzo cha mjadala huu ni hotuba yake aliyoitoa Jana.

Mh. Raisi ajitahidi kuwa na kifua cha kuifadhi mambo hata kama yanamfurahisha au kumsikitisha.
Tunakoelekea;
"Alikuwa anapinga sana mazungumzo yangu na Barrick hivyo nikatuma vijana saa 7.00 mchana wamlaze. Wale vijana nadhani hawakuwa professional wakapiga miguuni. Next time hawatakosea"

Note; ukikosa kifua cha kiume kujitunzia mambo yako, utaingia matatani mwenyewe.
 
Ndio maana anaogopa kwenda Marekani na Ulaya
Lazma aogope unadhani kuvaa suti na kwenda kuomba vyandarua na ela kwa wanaume wenzako ni jambo gumu , kuna jamii aijazoea kuombaomba kaa ukiju ilo.
 
Na nikweli, ukweli utabaki pale pale.
Cha ajabu, wazalendo ndo wanaopukutishwa awamu hii kuliko kutuzwa...
Yaani wazalendo ndo wanyamaze kisha tutumie nguvu kubwa kuwaaminisha watu mzalendo ni nani.
Kila siku naiombea Tz yangu, na stakaa chini kumwombea mtu anayeenda kanisani ila matendo yake anayajua moyoni kwake kwamba Mungu hapendi.

"A truth is still a truth even if nobody believes it, and
A lie is still a lie even if everyone believes it"
 
Binafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.

Kwani ni lazima kusema kila Jambo linalomfurahisha au kumkera Sana?

Suala la Dk. Mwele lilishapita na hakutakiwa kulizungumzia tena kwa kuliunganisha na taasisi za kimataifa ambazo kesho na kesho kutwa tutahitaji msaada wao pale ambapo magonjwa ya mlipuko yatakapo tokea.

Jana nimeona BBC NEWS habari kubwa ilikuwa ni Raisi kumpongeza Ofisa aliye charaza wanafunzi viboko.

Huu nao pia ni mjadala mkubwa ambao ameuanzisha na hauna tija. Chanzo cha mjadala huu ni hotuba yake aliyoitoa Jana.

Mh. Raisi ajitahidi kuwa na kifua cha kuifadhi mambo hata kama yanamfurahisha au kumsikitisha.
Urais alidondoshewa Kama embe dodo, wenye kufanya "vetting" hawakufanya kazi yao vema kuzuia "msema kila kitu" asiingie Ikulu!!!!!!
 
Mungu ndie kila kitu Mwale. mtumainie yeye tu ILA weledi na ukweli ndio mapenzi ya Mungu.
 
Aliyekua Mkurugenzi Mkuu wa NIMRI Bi.Mwele malecela ameposti katika akaunti yake ya twitter maneno haya. Nadhani huu ni mrejesho baada ya tamko la Mwenye nyumba kuwa Daktari Mwele malecela alikua anatumika na MABEBERU.

View attachment 1223939
View attachment 1223982
View attachment 1223983

=====

RAIS John Pombe Magufuli, amesema moja ya sababu kumtumbua aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti za Kiafya NIMR, Mwele Malecela, ni kiongozi huyo kutoa taarifa ambazo hazikuwa sahihi kuhusiana na ugonjwa wa Zika.

Magufuli ametoa kauli hiyo akiwa mkoani Songwe, wakati alipofika kwenye ziara ya kikazi na kufanikiwa kuzindua kiwanda cha kahawa kilichojengwa na wajasiriamali wa Tanzania, ambapo amesema moja ya mambo ambayo yalipelekea kumtoa kwenye nafasi hiyo Malecelea ni kutangaza ugonjwa.

“Maneno huwa hayaishi, kuna wakati walitangaza kuna ugonjwa wa Zika nchini Tanzania, alipotangaza hivyo wakati mimi najua haupo nilimfukuza saa 7:30 usiku, wala hakuna cha Zika iliyotokea. Baada ya wiki moja wakamteua akawa bosi wao, hii ilionyesha alitumwa kusema aliyoyasema; hizi ni mbinu za kibeberu,” amesema Rais Magufuli.
Hivi kiongozi kuwa na bifu na mwanamke kiasi cha kurudiarudia kumshutumu kila mara inaweza kuhusiana na kukataliwa mahusiano ?
 
We mdada mkorofi kinyamaa hapo nishaelewa umemaanisha nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
 
Mbona povu jingi mkuu au na wewe ulishaandikaga thesis ya maganda ya koroshow??
Mtakufa na presha za kuumbuka, huyo kahab wenu atatafuta uraia mwingine wenye maslahi ya mabeberu ka alivyofanya gay lis
 
Hebu ajaribu kwenda kumsumbua mzee malecela mzee wa watu alivyojichokea vile halafu athubutu kutuambia tumuombee.
Huyu Amshukuru Mungu kuwa ana passport ya UN vinginevyo asingekuja ondoka wala kanyaga Tz. Na jamaa alivyo na kinyongo lazima atalipiza kwa familia yake
 
Back
Top Bottom