Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi


Hata Mimi nashangaa sana.
Unajua siyo kitu kizuri KWA mwanaume kugombana au kuzozana NA mwanamke kulingana NA utamaduni wa kiafrika. Mwanamke mwingine ktk ugomvi Kama huu anaweza kukudhalilisha KWA umma, anaweza kusema kuwa "ulimtongoza kisha akakulkatalia" ndio maana unamsakama sana.
 
Huyo nae mropokaji wote treni lao moja
Nanukuu
"Nyerere alikua rais mwongo mwongo na mwenye hila"
Sasa hivi yeye TL kawa kama mbayuwayu hajui afanye nini kambi kashanyea.
Unataka kuumaminisha umma kwamba Nyerere alikuwa maraika, ama Yesu?
Yaani unaamanini kabisa Nyerere hakufanya makosa na yakaonwa na binadamu wenzie? Na kama kuna makosa aliyafanya, dhambi iko wapi kama yeye pia ni binadamu ?
Yaani kwa sababu ni Baba wa Taifa ndo tufumbie macho alipojikwaa... Yeye mwenyewe alisema, na ka andika kitabu "ujisahihishe"
Wewe unataka wasijisahihishe? ..!
 
Rudi shule ujifunze kuandika kwanza bwege ww umeandika nini?soma ulichoandika
 
Yako ipo huko !?
 
....pia kuna watu hawajui ukimwi/Ebola/kipindu pindu/ na kimeta ni magonjwa ya kupandikizwa ! Husikii Korea na China/ Urusi wakihangaika na hayo magonjwa
 
Alikuwa anazungumzia propaganda zinazoenezwa kwamba Tanzania kuna Ebola, ili watu wamwelewe ilikuwa ni lazima arejee yalotokea nyuma kwa kutolea huo mfano.
Malofa uwezo wa kuelewa hawana ! Maana kauliza mbona kila ana ya magonjwa ya mlipuko yako Congo ya Kabila !? ....ni kwa sababu waibe rasilimali
 
Mwalimu alipambana nao sana, kuanzia ukombozi kusini mwa Afrika mpaka kupanga foleni kwa ajili ya sabuni na unga !
 
...waliomtuma ndio wamempa kazi, huo ndio ujumbe !
 
Dawa ya msaliti inajulikana, kama mimi ningekuwa Rais huyo mama nisingeishia kumtumbua tu, angepambana na kesi ya uhujumu uchumi.
Mtu akipata uzoefu wa utalii na mahoteli yanavyo yumba sector ya Utalii ikipata misuko suko, kwa kweli ni uhujumu uchumi
 
Tatizo magu roho ina muuma kwamba licha ya kumfukuza kazi huyo mama ameendelea kuchanja mbuga siku zote mwisho wa ubaya ni aibu hila ufanye wewe maumivu pia upate wewe
Waliomtuma wamempa kazi ! Una mfano wa mgonjwa wa Zika popote utuonyeshe !?
 
Exactly! Alitaka huyu mama ateseke hapa kitaa bila kazi. Ile kwamba amepewa kazi tena kubwa kuliko hii aliyotumbuliwa imemuuma sana...tena inaonekana imemuuma muda mrefu maana kaongea kwa uchungu.
...waliomtuma !
 
This president is a nut....!
Tunaweza kusema kwa ujumla Magufuli ni mtu mnafiki sana,mtu mwenye kinyongo,hasira,wivu wa kike,mmbeya na mwenye visasi kwa sana! Kwa sifa hizi this man wasn't supposed to be the Head of State……!
Labda babako angefaa !
 
Suala ni kudhibiti, sio kutangaza na kuyumbisha nchi !
 
Kwa namna/ jinsi ugonjwa wa Zika ulivyo hatari, Tulionao na kusikia Hali ilivyokuwa Brazil.
Kwa kanchi maskini Kama ketu Tz ,Tuingiliwe na Zika, akina Mama vijijini wangepona Kweli?
Malaria Tu inatupa presha sembuse hiyo Zika na Ebola!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…