Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

Aliyekua Mkurugenzi Mkuu wa NIMRI Bi.Mwele malecela ameposti katika akaunti yake ya twitter maneno haya. Nadhani huu ni mrejesho baada ya tamko la Mwenye nyumba kuwa Daktari Mwele malecela alikua anatumika na MABEBERU.
View attachment 1223868

!
!
Ukisikia Ngumi Jiwe Ndio Hii Sasa. Jibu Moja Tu Mtu Chali
 
Wakati Thesis ya Jiwe amekopi tu kazi ya mtu mwingine (plagiarism), na alipoulizwa na Ben Saanane akaagiza auliwe. Halafu anakuja kudharau wasomi wa kiukweli.
Angalia mkono wako. Hii ni Tanzania usiandike jambo huna ushaidi ukaisumbuwa nafsi yako. Hili nitaifa kamili.
 
Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.

Inakosekanaje Google sasa kwa mfano?! Hata kwenye repository ya London School of Hygiene and Tropical Diseases ipo! Ila tukitafuta za wanaoongea sana hata Google hazipo! Ukim-google japo ni PhD holder unakutana na picha za matukio tu, no machapisho no dissertation! Aibu hii!!
 
Binafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.

Kwani ni lazima kusema kila Jambo linalomfurahisha au kumkera Sana?

Suala la Dk. Mwele lilishapita na hakutakiwa kulizungumzia tena kwa kuliunganisha na taasisi za kimataifa ambazo kesho na kesho kutwa tutahitaji msaada wao pale ambapo magonjwa ya mlipuko yatakapo tokea.

Jana nimeona BBC NEWS habari kubwa ilikuwa ni Raisi kumpongeza Ofisa aliye charaza wanafunzi viboko.

Huu nao pia ni mjadala mkubwa ambao ameuanzisha na hauna tija. Chanzo cha mjadala huu ni hotuba yake aliyoitoa Jana.

Mh. Raisi ajitahidi kuwa na kifua cha kuifadhi mambo hata kama yanamfurahisha au kumsikitisha.
Uko sahihi mkuu lakn kwa hulka za wanadamu huwa ni ngumu mno kushinda hali kama ile, muda mwingine tunaumizwa ama kufurahishwa na ishara ya haya ni mtu akiumizwa analia, anaweza pia kupigana hata ngumi yote hii ni ishara ya disscontent lakn pia akiwa na furaha atacheka, kutabasamu ama hata kuimba wimbo wenye kuonyesha hali ile, kwa mh Rais na tukio alilolitenda Dr Mwele bado inajimuktadhanisha na maelezo yangu haya na ukweli hakuna ugonjwa wa ZIKA uliokuja kutukia sasa swali tulitakiwa kujiuliza je zika aliizika dr mwele? Kwanini hakukuwa na hata dalili baada ya taarifa yake hyo na kutumbuliwa kwake? Kwanini Rais asionyeshe hasra zake kwa alichokifanya huyo mtumishi wa umma?

Muda mwingine tunashabikia ujinga tu lakn ukwel wa habar hii tulipaswa kujiuliza swali hili tu kwamba huu ugonjwa ulikuwepo kweli? Kwann ulipotea?
 
Binafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.

Kwani ni lazima kusema kila Jambo linalomfurahisha au kumkera Sana?

Suala la Dk. Mwele lilishapita na hakutakiwa kulizungumzia tena kwa kuliunganisha na taasisi za kimataifa ambazo kesho na kesho kutwa tutahitaji msaada wao pale ambapo magonjwa ya mlipuko yatakapo tokea.

Jana nimeona BBC NEWS habari kubwa ilikuwa ni Raisi kumpongeza Ofisa aliye charaza wanafunzi viboko.

Huu nao pia ni mjadala mkubwa ambao ameuanzisha na hauna tija. Chanzo cha mjadala huu ni hotuba yake aliyoitoa Jana.

Mh. Raisi ajitahidi kuwa na kifua cha kuifadhi mambo hata kama yanamfurahisha au kumsikitisha.
Usitegemee busara kutoka kwa kichaa.
 
Back
Top Bottom