kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Tumekuwa na jamii mbovu ya vijana kupenda kuchukua post za watu na kutaka kuziunganisha na mambo yasiyohusika!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi WHO wakiacha kutu support tutamudu?Ila uncle Magu kautua mzigo pia. Roho kwaatu. Hakuna kuugua presha. Mambo ya kukaa na kitu rohoni ni ugonjwa.
Ila ndiye genious anayejenga nchiWakati Thesis ya Jiwe amekopi tu kazi ya mtu mwingine (plagiarism), na alipoulizwa na Ben Saanane akaagiza auliwe. Halafu anakuja kudharau wasomi wa kiukweli.
Alikuwa anazungumzia propaganda zinazoenezwa kwamba Tanzania kuna Ebola, ili watu wamwelewe ilikuwa ni lazima arejee yalotokea nyuma kwa kutolea huo mfano.Binafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.
Kwani ni lazima kusema kila Jambo linalomfurahisha au kumkera Sana?
Suala la Dk. Mwele lilishapita na hakutakiwa kulizungumzia tena kwa kuliunganisha na taasisi za kimataifa ambazo kesho na kesho kutwa tutahitaji msaada wao pale ambapo magonjwa ya mlipuko yatakapo tokea.
Jana nimeona BBC NEWS habari kubwa ilikuwa ni Raisi kumpongeza Ofisa aliye charaza wanafunzi viboko.
Huu nao pia ni mjadala mkubwa ambao ameuanzisha na hauna tija. Chanzo cha mjadala huu ni hotuba yake aliyoitoa Jana.
Mh. Raisi ajitahidi kuwa na kifua cha kuifadhi mambo hata kama yanamfurahisha au kumsikitisha.
Kwetu ni mwiko kukaa unagombana gombana na mwanamke.....hawa ni mama zetu wewe ulishafanya maamuzi ukamfukuza kazi..huu ndio ulikuwa mwisho wa mchezo.....Sio wakati wa vijembe mkuu kashasema inatosha
..siasa ni ki2 kibaya sn
Hahhaaaaa...Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Tatizo magu roho ina muuma kwamba licha ya kumfukuza kazi huyo mama ameendelea kuchanja mbuga siku zote mwisho wa ubaya ni aibu hila ufanye wewe maumivu pia upate weweMagufuli amemponda sana huyu dada, eti alimfukuza kazi saa 7 na nusu usiku
Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Tatizo magu roho ina muuma kwamba licha ya kumfukuza kazi huyo mama ameendelea kuchanja mbuga siku zote mwisho wa ubaya ni aibu hila ufanye wewe maumivu pia upate wewe
Kwetu ni mwiko kukaa unagombana gombana na mwanamke.....hawa ni mama zetu wewe ulishafanya maamuzi ukamfukuza kazi..huu ndio ulikuwa mwisho wa mchezo.....
Haya leo yanatoka wapi?......ulitaka afe nini?
Ok kapata kazi...wengine wamempa wewe unaumia...kwani unamlipa wewe mshahara...very strange....tuache roho za hivi sijui huko makanisani tunafuata nini?..
Tuwafunze watoto zetu mambo mema ....
I m out
Binafsi naamini Raisi naye anapenda kuanzisha Mijadala isiyo na tija.
Kwani ni lazima kusema kila Jambo linalomfurahisha au kumkera Sana?
Suala la Dk. Mwele lilishapita na hakutakiwa kulizungumzia tena kwa kuliunganisha na taasisi za kimataifa ambazo kesho na kesho kutwa tutahitaji msaada wao pale ambapo magonjwa ya mlipuko yatakapo tokea.
Jana nimeona BBC NEWS habari kubwa ilikuwa ni Raisi kumpongeza Ofisa aliye charaza wanafunzi viboko.
Huu nao pia ni mjadala mkubwa ambao ameuanzisha na hauna tija. Chanzo cha mjadala huu ni hotuba yake aliyoitoa Jana.
Mh. Raisi ajitahidi kuwa na kifua cha kuifadhi mambo hata kama yanamfurahisha au kumsikitisha.
Uko sahihi mkuu lakn kwa hulka za wanadamu huwa ni ngumu mno kushinda hali kama ile, muda mwingine tunaumizwa ama kufurahishwa na ishara ya haya ni mtu akiumizwa analia, anaweza pia kupigana hata ngumi yote hii ni ishara ya disscontent lakn pia akiwa na furaha atacheka, kutabasamu ama hata kuimba wimbo wenye kuonyesha hali ile, kwa mh Rais na tukio alilolitenda Dr Mwele bado inajimuktadhanisha na maelezo yangu haya na ukweli hakuna ugonjwa wa ZIKA uliokuja kutukia sasa swali tulitakiwa kujiuliza je zika aliizika dr mwele? Kwanini hakukuwa na hata dalili baada ya taarifa yake hyo na kutumbuliwa kwake? Kwanini Rais asionyeshe hasra zake kwa alichokifanya huyo mtumishi wa umma?
Muda mwingine tunashabikia ujinga tu lakn ukwel wa habar hii tulipaswa kujiuliza swali hili tu kwamba huu ugonjwa ulikuwepo kweli? Kwann ulipotea?
Kwani ni uwongo? Mnamuona malaika yuleHuyo nae mropokaji wote treni lao moja
Nanukuu
"Nyerere alikua rais mwongo mwongo na mwenye hila"
Sasa hivi yeye TL kawa kama mbayuwayu hajui afanye nini kambi kashanyea.
That is a crap....Thesis ya PhD ya Dr Mwele Malecela ipo hata uki google tu unaipata London School of Hygiene and Tropical Diseases.
Kwa hiyo una maanisha kiongozi wetu hana kifua cha kubeba mambo? Kama hana basi atakua kiongozi wa ajabu kuwahi kutokea.Ila uncle Magu kautua mzigo pia. Roho kwaatu. Hakuna kuugua presha. Mambo ya kukaa na kitu rohoni ni ugonjwa.
Najaribu tu kutafakari kwamba kama ni ugonjwa, Rais atakuwa ameuguwa for how long..??