Kama mlikataa kuwepo sasa unaiuliza vipi? Ulofa ni mzigo, na Zika ipo tu.Nani kamfitini? Ni kweli nchi ilikuwa na ZIKA? kama ni kweli hiyo zika imeishia wapi? Lazima tukubaliane alikosea tuuu.... kupata cheo kingine hakuprove kuwa hakukosea....
Haaa mwambieni kipara aache ushamba wa chatoatulie sasa aachane na mambo ya kutangaza outbreaks za magonjwa nje ya utaratibu.
Hongera zake sana!
Huna unalojua.
kwa mtazamo wako unaona waliomthamini kumpa heshma ya kumpa ukuu hawana akili ila JIWE lako ndo linaakili pale llipomtumbua.Hivi anayeula Tanzania kila mara huwa ni Dr. Mwele Malecela tu peke yake? Najiuliza hivi kama isingekuwa huyu Mwanamama ' Kutotumbuliwa ' na Rais JPM tungekuwa tunamzungumzia hivi kila mara huku tukitumia ' teuzi ' zake anazozipata huko Nje kama fimbo ya Kumnanga / Kumsema Magufuli?
Tusilazimishe kwamba kila Mtaalam basi lazima awe anafaa katika Uongozi fulani na tujifunze pia kuheshimu Maamuzi ya Mtu juu ya Mtu fulani. Mbona hamshangai katika Mpira wa Miguu unakuta Mchezaji fulani ni mahiri / mzuri kabisa ila akija tu Kocha mpya na kutokana na mfumo wake ataonekana hafai na ama atamweka benchi au ataamua auzwe kwakuwa atakuwa hamuhitaji.
Sina shida na huyu Mwanamama Dr. Mwele Malecela kwani ni Msomi mzuri tu na si Msomi tu pekee bali pia hata Kichwani ( Upstairs ) bado ametukuka ila nachukizwa na tabia za Kiswahili / Kimajungu ambazo nimekuwa nikiziona hasa pale akipata tu ' Wadhifa ' fulani Watu wataupokea katika mwelekeo wa Kumsema Rais Dr. Magufuli kwamba ameacha Mtu muhimu.
Tubadilikeni tafadhali na siku zingine muwe mnatuwekea na Watanzania wengine ' walioula ' Kimataifa kwani wapo wengi tu ' otherwise ' tutakuwa tunaiendeleza ile ile tabia ' zoeleka ' ya Watanzania ' Wanaharakati ' ya Unafiki!
Masanja umenena. Nakumbuka Askofu Mkuu Rugambwa alipoteuliwa na Pope Emeritus kuwa Balozi wa Vatican nchini Angola, Mheshimiwa Raisi JM Kikwete alimtumia salamu za pongezi. Hiki ni "kichwa" cha kitanzania na isitoshe ni zao la shule za kitanzania. Ndiyo mambo ya "kutembea kifua mbele". Naunga mkono hoja.Huu uzi unatufundisha mengi......binadamu hata kama watapenda ufanikiwe...Lakini hawatapenda uwazidi. do better but not better than them. Ukisoma huu uzi unaona kabisa kuna watu wameumia.
Ndugu zangu, ndo mambo tunaongea humu kila siku: dunia ina fursa nyingi sana. Kwa uzoefu wangu, nafasi kama hii ya Dr. Mwele, HAIHITAJI government clearance or support. Ni weledi na taaluma yako. Hii inadhihirisha kwamba huyu dada/mama ni very competent. Kwenye post kama hii applicants siyo chini ya 1000! Sasa mpaka kutoboa ujue kabisa huyu ni habari nyingine. kazi za UN SIYO ZA KUGAWANA U-DC na U-RC wa Taifa letu pendwa!
Again, nampongeza sana Dr. Mwele. Aende atuwakilishe vizuri. Na hopefully pale atakapoweza kuunga mkono juhudi za waTanzania wenzake wanaotafuta fursa WHO na kwingineko........ itakapowezekana awape support!
Huu ni ushindi wa Taifa letu. inabidi Waziri Ummy Mwalimu na Mahiga on behlf of the Government amwandikie hata barua ya kumpongeza kwa kuteuliwa kwa hii nafasi. kwa nafasi kama hii (I am sure ni D-2) NI CHACHE SANA! na Kuipata..ni changamoto kubwa.....Kwa hiyo Tanzania lazima tujivunie haya mafanikio. Kwa wanaojua wananielewa.
God bless Tanzania.
Baada ya kutumbuliwa,inaonesha alijifunza vingiThis is something to get us in the #FridayFeeling: A huge congratulations to @mwelentuli for her appointment as the new NTDs Director at @WHO. A great appointment by @DrTedros.
View attachment 887879
Mwaka 2016 Uteuzi wa Dk. Mwele Malecela kama Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (National Institute for Medical Research – NIMR) ulitenguliwa na Rais John Magufuli, siku moja baada ya Dk. Mwele kusoma hadharani ripoti iliyoonesha kuwa kuna kina mama wamekutwa na dalili za virusi vya ZIKA nchini Tanzania.
Pamoja na yote hayo, Dk. Malecela anashikilia rekodi nyingi na kubwa sana. Kwa mfano, Dk. Mwele ndiye mwanamke wa kwanza duniani na mwafrika wa kwanza kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya Jamii (IANPHI) taasisi ambayo ni mwamvuli wa taasisi zote za kitaifa za afya kwenye mataifa yote duniani.
Dk. Malecela alijiunga NIMR mwaka 1987 baada ya kuhitimu shahada zake kutoka Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM), pia ana Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha London Uingereza mwaka 1995.
Sekta ya Afya nchini Tanzania haitamsahau kwa mchango wake mkubwa kwenye kujenga misingi ya tafiti za afya na hasa usimamizi wake kwenye Mchakato wa Kuweka Vipaumbele vya Kitaifa vya Tafiti za Afya ambao ulianzishwa mwaka 1999 na baadaye kufanyiwa mapitio mwaka 2005.
tetea ujinga wa jiwe [emoji90] [emoji90] [emoji83] ...mbafff weeNani kamfitini? Ni kweli nchi ilikuwa na ZIKA? kama ni kweli hiyo zika imeishia wapi? Lazima tukubaliane alikosea tuuu.... kupata cheo kingine hakuprove kuwa hakukosea....
mwambie aende pale fery kivukoni atakutana na ZIKA 3 zinaishipale zinaombaombaAnayekosea anashushwa cheo au kufukuzwa kabisa. Unakosea unapandishwa cheo! What precedence? Yale ya kwenu ya vyeti feki kuchapa kazi unayapeleka WHO? Miaka mingapi kafanya kazi hapo NIMR! Kutoka chini kabisa kapanda hadi kuwa Mkurugenzi, bado unauliza viswali vya hovyo tu? Ulitaka ukutane na hiyo Zika Kariakoo? Kama inadhibitika ikadhibitiwa!
cc: jingalaoNdugu , hawa CCM wanashida sana. Hawapendi kuambiwa ukweli.
PESA mtaani hakuna wao wanasema pesa ipo japo kimoyomoyo wanaumia kwelikweli.
Furaha yao ni kusikia yale wanayoyatamani kuyasikia.
Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
JIWE MENTAL[emoji13] [emoji12] [emoji90] [emoji83]Mm sijaona cha ajabu hapo!! andiko limeletwa kisiasa ili kufanya critism to our loverest President what I can say it is absolute absurd thread
kamuulizeMshahara wake na marupurupu vinaweza kufika US$50,000 kwa mwezi?
Tatizo ya Mwale she is not a medical doctor. Yeye ni mtu wa zoology. Hakustahili kuongoza a national medical research institute, being not a medical proffessional.Your wrong kabisa.... Mwale kuwambombezi hakumfanyi kuwa mkamilifu lazima tukubali alikosea sana tena sana kutangaza tanzania kuna Zika ....jiulize zika yake iliishia wapi?
That is reality mkuu, alionewa kabisaTatizo ya Mwale she is not a medical doctor. Yeye ni mtu wa zoology. Hakustahili kuongoza a national medical research institute, being not a medical proffessional.
Alionewa kwa kupewa kuongoza taasisi ambayo hana utaalamu nayo. Hivyo akavurunda kwa kukiuka codes of ethical medical conducts. Ikawa hakuna namna nyingine JPM ya kumfanya isipokuwa kumtumbua!That is reality mkuu, alionewa kabisa
Sasa kosa lake nini huyo mama kutoa taarifa ya ukweli kuhusu ugonjwa kosa? Sasa bora mungu kamwona akafanye kazi. Ya utaalamu wake bila mashinikizo ya kijingaKuelewa uwezo wa mwenye akili ni lazima nawe uwe na akili.