Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine

[/QUOTE]

Uliowataja wote ndo walikuwa wameshika nchi...na bado waliona Maghufuli ndo the last bullet Iliyobakia....la sivyo CCM ilikuwa chalii....asili ya mtu haibadiliki kwa matamko....Maghufuli ni yule yule jana na leo na hata kesho labda wamuue...vinginevyo wataendelea kuisoma namba at the maximum
 
Hapana kulikuwa na msafi Augustino Ramadhan yule hakuwa na hata doa au kashfa hata ya kubambikiwa. Kikwete na Mkapa wakamuhofia kwamba anaweza kuwaumbua yule na kashfa zao na pia kutia wino kwenye katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi. Magufuli ni mwizi, fisadi, muongo na mtoa rushwa. Kama si mafisadi wa CCM kulinda a Serikalini huyo asingestahili kumaliza hata miaka mitano kazini, lakini kama ujuavyo wanavyokingiana vifua kwenye maovu yao hatimaye wakamsumizia Ikulu.


Uliowataja wote ndo walikuwa wameshika nchi...na bado waliona Maghufuli ndo the last bullet Iliyobakia....la sivyo CCM ilikuwa chalii....asili ya mtu haibadiliki kwa matamko....Maghufuli ni yule yule jana na leo na hata kesho labda wamuue...vinginevyo wataendelea kuisoma namba at the maximum[/QUOTE]
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa mtafiti, na kuwa kiongozi

Maybe Mwele alikua researcher mzuri sana lakini hakua na same qualities kama kiongoxzi wa institution
unajua saa hv anashikilia position gan???
au na ww ulikua unawahi kucomment??
 
..huyu ndio dadaye na Lejingaz ?

Masikini dadaetu hukumuachia hata akili kiduchu kubwajinga lembebez from Lumumbaz ?
 
Hivi anajisikiaje aliemfukuza kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kiingereza.

Huyu anatakuwa na undugu na kubwa jinga,mwili jumba akili nukta??
 
Hongera zake!

Lakini kwenye zika alikosea.
 


LILE KOSA LILOSABISHA AKAFUKUZWA KAZI NA RAIS HALIFUTIKI !! BADO NI KOSA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…