waza_makubwa
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 215
- 76
Na mwizi wenu chizi vipi alibugi kuiba?Wizi wa kura umemuweka madarakani, Mungu atalipa!
daaaaaaaa!!!!!! Nilidhania ccm wanaiba rasilimali za tanzania tu!!! Kumbe hata kura za watanzania!!!!!
Daima malipo ni duniani;
mfalme daud na suleiman walikuwa na mafanikio katika uongozi wao kwa kuwa mungu aliwabariki. Lakini mungu hawezi kutoa baraka kwa kiongozi ambaye amewekwa madarakani kwa ulaghai.
Hivyo tusubiri kiama cha maisha.
Tuliahidiwa "ari mpya nguvu mpya na kasi mpya" hatukuiona kwa miaka yote.
Tuliahidiwa "maisha bora kwa kila mtanzania" hatukuyaona miaka yote.
Na sasa "hapa kazi tu" tunaisubiria atimize ahadi zake. Tunachotaka sisi ni kuwa na maisha bora na siyo bora maisha!!!!.
Kama ukishiriki usaliti lazima usalitiwe na wewe pia, EL alikuwa miongoni mwa wezi wa kura kutubu kwake ni kuibiwa na yeye, hatimaye CCM A wawaibia CCM B hapa ngoma droo
Mmoja tu mkuu
hata mimi hapa ubungo wamechagua limbunge linafiki li-kubenea la chaggadema silipendi na kibaya zaidi na diwani ni chaggadema yaani ni kama naishi motoni.nayachukia sana lakini ntafanyaje ndio demokrasia walio wengi wanaamua na wachache mnakaa kimya maana wanasema penye wengi hapaharibiki neno na sauti ya wengi ni sauti ya mungu
Anastahili
Mjini kimya, hakuna shangwe kabisa. Hii inadhihirisha kuwa huyu mtu hakuwa chaguo la watu. Nadhani chaguo la wengi lingetangazwa kila mtanzania angekuwa anafrahia wakati huu.
Kwahiyo kwa mtazamo wako unaamini kwamba Pombe ndiye atakeyetuondolea haya matatizo? Je! Chui anaweza kujibadilisha madoadoa yake? Kama anaweza, Basi Pombe pamoja na CCM wanaweza kutuondolea matatizo haya.