DOGofGOD
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,341
- 480
Ukweli ni kwamba Tanzania imehukumiwa miaka mingine mitano ya Maisha magumu, Umasikini, kuporomoka kwa elimu, kuporomoka kwa shilingi, Mfumuko wa bei, kupanda kwa deni la taifa, kufutika kwa tembo wetu, kuporwa madini na gesi yetu, Ufisadi papa ulio juu ya sheria n.k. Ole wetu watz, ni nani aliyetuloga.
wewe unaamini fisadi na timu yake ya wapiga dili wangekuondolea hayo matatizo.husijifanye unazijua sana shida za watanzania.watanzania wanajua shida zao na wamemuamin jpm kua ndie mtu sahihi kwao wa kushughlika na shida zao.huwezi kuzungumza kwa niaba ya watanzania mil8.