Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Hii ni Ahadi Ya Magufuli.. ...

NA Hizi ndo Ahadi alioahidi Eneo letu
1. Meli Mbili za Kwend Bukoba
2. Wafanyakazi kuondolewa Kodi ile asilimia 18


Weka Ahadi alizokuahidi Eneo lako
 
No democracy
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1446126863.558409.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1446126863.558409.jpg
    17.7 KB · Views: 236
Kuna ambao hawajakupigia kura!!!
Kuna ambao hawapendi chama chako.
Kuna ambao wana historia mbaya na chama chako.

Uliposema #hapa kazi tu# kweli rais John Pombe Magufuri KAZI UNAYO.
 
huo ndio ukweli...binafsi nimeweka vikwazo vya kiuchumi kwa jamaa zangu huko mwanza..kunzia leo sitaki kusikia simu ya kuomba msaada wa karo za shule nk...vikwazo hivyo ni mpaka 2020...,.. na sas ani mwendo wa kulakwa urefu wa kamba yangu maana imejidhihiri kuna watnzania mapopoma wengi bado wapo..hakuna kumwangalia mtu usoni
 
Historia imeandikwa. Kwa mara ya kwanza tuna vice president mwanamke. Tunapiga hatua kwa kweli!

Eddo ishu ni kulipa madeni ya watu sasa. Uwiiiiii! Life isn't fair kwa kweli!
 
ARUSHA: Mji kama umetiwa ganzi wananchi hawaamini nini kimetokea, kauli za wengi ni 'basi tena'. Ila mitaa mingi ni kama picha inavyoonesha kwa mbali.
attachment.php

Walitaka mzee ashinde ikulu ihamie Monduli.

poleni sana!! ukanda na ukabira umewaponza.
 
Hapa nilipo ni msiba hakuna anaeshangalia kura za makamba zimemfanya atangazwe.Poleni Watanzania wengi mliotaka mabadiliko.

Eddo amezidiwa kura zaidi ya mil. 2. Aisee Bumbuli kuna watu!
 
Mshauri na mbowe awemwungwana kama wewe tanzania ni yetu sore. Wajipange tena
 
dah amina mkuu..naomba mungu amjalie ilo..asitusahau sisi masikini tulio wengi..sio lzm atupe pesa mfukoni ata akishusha bei ya bati na cement amaetenda

Hii coment yako imetoa chozi mkuu...hakika Mungu ni mwema!
 
NA Hizi ndo Ahadi alizoahidi
1.mahakama Ya Mafisadi

2..Meli Mbili za Kwend Bukoba

3 Wafanyakazi kuondolewa Kodi ile asilimia 18


Weka Ahadi alizokuahidi Eneo lako
 
Sijawahi sikia hili kuondolewa ??????????????????????????????????????

2. Wafanyakazi kuondolewa Kodi ile asilimia 18
 
attachment.php


Rais ni Magufuli endeleeni na kazi.
Jambazi sugu litashughulikiwa sasa na vyombo vya dola.
 
Mm nadhani ukawa tusikubali. Vinginevyo ccm itatawala mpk mwisho wa dunia. Utaiitoa vipi wakati tume haihojiwi wala kushitakiwa mahakamani?
Hata ikitokea ccm imepata 0% tume itaipatia ccm ushindi na hatutaifanya lolote.
Hiki ndicho kilichofanywa leo. Lowassa amepeleka malalamiko tume ili isiendelee kusoma matokeo. Lakini wamekaidi na hatimaye wamemtangaza mshindi.
VOA: multi-partism in Tanzania is on paper but practically it is a mono-party state.
 
Back
Top Bottom