Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Mbowe, Sumaye Kingunge, Mgeja na Msindai pamoja na wale makapi kina Juma Mwapachu na Evelyn Sinare.
Subirini mwaka 2025 , itakuwa nafasi nzuri Zaidi kwen.
 
No democracy

attachment.php


Naona umeharibu kwa makusudi mali ya Tume ya taifa ya uchaguzi.

Acha sheria ichukue mkondo wake.
 
Serikali haina hela , kodi zitaongezwa. Kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe.
 
Huyu ndiye Rais Mteule wa Tanzania aliyechaguliwa na watu milioni 8.8 kati ya watanznia milioni 48 including watoto wetu.

Kazi kwetu watanzania

Kachaguliwa na watu million 8.8 kati ya watu million 15 waliopiga kura acha ungese wewe punguani
 
Watanzania ni wanafiki sana .................... ndiyo maana ni rahisi sana kuwatawala!! Mwarabu hakupata shida, Mjerumani hakupata shida, Mwingereza ndiyo alitanua tu .......................!!!

Lakini mchagga na fedha zimeshindwa.
 
aanze na hilo baraza dogo la mawazi alilo ahidi.
 
Naihurumia nchi yangu Tanzania , ila watanzania mmechagua ujinga mtaisoma namba subir waanze kuiba na kupeleka uswiz.

siwez kupiga kura kamwe
 
Dr Joseph Magufuli (CCM) becomes the fifth president of Tanzania after defeated Edward Lowassa (Chadema) in a two-horse race from day-one Dr Magufuli, president-elect, garnered 8,882,935 votes to give him a 58.46 per cent lead in a race that took almost two gorilla months that had eight presidential hopefuls.

Bravo bravo Hongera JPM kwa kazi nzuri Watanzania tuko nyuma yako ... ... . ...Ding ... Dong
 
?Maendeleo? ya binadamu sio ya moja kwa moja (Automatic) na wala hayategemewi kuja yenyewe tu. Kila hatua kufikia lengo husika inahitaji Kujitolea,mateso na mapambano ya hali na Mali!!Tunahitaji juhudi zisizokoma na harakati zisizokwisha kwa kila mmoja wetu pale haki inapobinywa,ujinga unapotamalaki na tabaka moja linapojiona lina ?HAKI MILIKI ? ya nchi na rasilimali zilizopo na kuzitumia rasilimali hizo kuwagandamiza wengine!!..MOYO WANGU UNALIA MACHOZI YA DAMU!!!NIMEUMIZWA SANA!!
 
Urais haununuliwa kwa MTONYO.Watanzania tumekataa
 
Acha waisome namba eeeeh! CCM MBELE KWA MBELEEEEEE, Heko Mh. Rais wa JMT J.P. Magufuli, hakika kura yangu haikwenda bure, wapi ibra87 hebu kujeni tusherehekeee.
 
Last edited by a moderator:
Urais haununuliwa kwa MTONYO.Watanzania tumekataa.HUWEZI KUNUNUA WATU WOTE,BAKINI NA FISADI PAPA WENU.
 
walisema tutakimbia humu jukwaan badala yake wamekimbia wao,asanteni watanzania kwa kura zenu na kwa nafasi nyingine,

 
Daaaaaaaa!!!!!! Nilidhania CCM wanaiba Rasilimali za Tanzania tu!!! Kumbe hata kura za Watanzania!!!!!


Daima malipo ni Duniani;

Mfalme Daud na Suleiman walikuwa na mafanikio katika uongozi wao kwa kuwa Mungu aliwabariki. Lakini Mungu hawezi kutoa baraka kwa kiongozi ambaye amewekwa madarakani kwa ulaghai.

Hivyo tusubiri kiama cha maisha.

Tuliahidiwa "ARI MPYA NGUVU MPYA NA KASI MPYA" hatukuiona kwa miaka yote.

Tuliahidiwa "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA" hatukuyaona miaka yote.

Na sasa "HAPA KAZI TU" tunaisubiria atimize ahadi zake. Tunachotaka sisi ni kuwa na maisha bora na siyo bora maisha!!!!.
 
Back
Top Bottom