Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Tunasherehekia PAMOJA na TBC na STAR TV wengine wapo kwenye ndombolo
 
watatunyanyasa sana hawa jamaa m nawaza hadi naogopa yaan.
 
Hatuisomii namba eeee
mbele mbele mtadoda eee
akunyimaye kunde hukupunguzia mashuziiix2
 
Watanzania ni wanafiki sana .................... ndiyo maana ni rahisi sana kuwatawala!! Mwarabu hakupata shida, Mjerumani hakupata shida, Mwingereza ndiyo alitanua tu .......................!!!
 
Hiyo ndiyo demokrasia. Shangilia kwanza jaribu tena 2020. Tunakupenda. Tujenge nchi yetu.

Siwezi kushangilia, nina huzuni balaa. Hapa bar nilipo ni mijimama kama minne tu ndio inashangilia, the rest of about 30 people wana huzuni.
 
Kwenda zako wewe tushangilie nini tulishajua tangu j.3 kwa mujibu wa kura zilivyokuwa zinakwenda tulishajua magufuli ndio raisi wetu kwa hiyo we kakojoe ulale maana naona unausingizi
 
Ukweli ni kwamba Tanzania imehukumiwa miaka mingine mitano ya Maisha magumu, Umasikini, kuporomoka kwa elimu, kuporomoka kwa shilingi, Mfumuko wa bei, kupanda kwa deni la taifa, kufutika kwa tembo wetu, kuporwa madini na gesi yetu, Ufisadi papa ulio juu ya sheria n.k. Ole wetu watz, ni nani aliyetuloga.
 
Lile mlilosema chaguo la Mungu liko wapi?? Mungu huwa anashindwa??

Mungu ni wa haki! Kama umeona ameshinda kwa haki sawa jua ni Mungu lakin kma kwa mapenzi yenu jua bado Mungu yupo kazini!
 
Mungu amsaidie aweze kutimiza yote aliyoyaahidi kinachopaswa watanzania Tukubaliane na Hali halis upinzani tuweke pembeni Sasa kama ameshinda kwa haki kikubwa Mweshimiwa JPM namuomba tu ajaribu pia kuangalia suala la Mfumo wa serikali yake kama kunauwezekano wa kubadilisha mfumo mzima aweze kubadilisha, Kingine kuna baadhi ya ahadi ambazo ni mhimu anapaswa kuanza nazo kabula ya kuyanza ahadi yake ya Elimu bure Mimi ningeomba kwanza Aanze na Kuboresha Shule ziwe katika kiwango
Pia namuomba ajaribu kuangalia vizuri wizara ya Elimu kiukweli ipo nyuma sana kiutendaji hili ni jambo jema na kuzingatia kila mtazanzia anapaswa kupata elimu stahiki. NDUGU ZANGU TUSHIKAMANE,MATUSI SASA TUYAACHE IMETOSHA TUANGALIE NDANI YA HII MIAKA 5 INCH YETU ITAFIKIA HALI GAN? PIA NAMUOMBA AJARIBU KUWABANA BAADHI YA WABUNGE WASIJE KUJAA DAR NA KUAACHA MAJIMBO YAO KATIKA HALI MBAYA KUNABAADHI YA SEHEMU INASIKITISHA SANA WATU TUNAKUNYWA MAJI YA KUCHANGIA NA NG`OMBE HASWA MKOA WA MWANZA NA GEITA HUKO
 
Dar..Arusha..Mbeya..kilimanjaro..Mwanza..wana akili..wengine wa dodoma watabak ombaomba daima..singida wameridhika na kuuza baa...Tabora endeleen kufuga nyuki...Ruvuma endeelen na ulevi wa pombe za kienyej
 
Mark my words... hatatimiza aliyo ahidi..dhuluma huzaa fedheha... anae muachia kijiti aliingia kwa mbwembwe kubwa sana na kwa kuaminiwa na tz yote lkn anatoka kichwa chini...kila kitu hovyo... huyu nae same road same destination...count down has just begun
 
Baada ya kutangazwa kwa j.p.magufuli kuwa rais wa 5 wa tanzania leo tarehe 29.10.2015, ndio umekuwa mwisho wa ule umoja wa mashaka wa ukiwa. Kwani umoja huu ulijengwa kwenye kuaminishana kuwa fulani akiwa rais basi na sisi tumeula na kupiga dili za kufa mtu. Sasa wataanza kutimuana na kila mmoja kujifanya hamuamini mwenzake.
 
kama mungu angemchagua lowasa kuwa ni rais wa tz hata ccm wangefanya nini kwa maombi haya sisi wakristo twasema huyu ndio chaguo la mungu
 
Back
Top Bottom