Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Ukweli ni kwamba Tanzania imehukumiwa miaka mingine mitano ya Maisha magumu, Umasikini, kuporomoka kwa elimu, kuporomoka kwa shilingi, Mfumuko wa bei, kupanda kwa deni la taifa, kufutika kwa tembo wetu, kuporwa madini na gesi yetu, Ufisadi papa ulio juu ya sheria n.k. Ole wetu watz, ni nani aliyetuloga.

wewe unaamini fisadi na timu yake ya wapiga dili wangekuondolea hayo matatizo.husijifanye unazijua sana shida za watanzania.watanzania wanajua shida zao na wamemuamin jpm kua ndie mtu sahihi kwao wa kushughlika na shida zao.huwezi kuzungumza kwa niaba ya watanzania mil8.
 
Ndugu zangu kwa ubakaji huu wa democrasia katika nchi yetu nimeona kabisa uasi ni rahisi kutokea! Ccm imejigeuza mungu mtu mfalme wanaona Kura wameufanya kwa Zanzibar na wamefanya tanganyika,,
 
Mzee Lowasa sijui maden utayarudishaje, hapo lazma utafarakana na marafiki zako.

Mr Zero sijui utaishi vip mjin maana kichwan hamnazo ila ulikuwa unabebwa tu. Kingunge presha inapanda presha inashuka stend ya ubungo kwishney.

Mbowe anaumiza kichwa namna ya kuunganisha chadema tena. Mtamkumbuka mzee Slaa
 
Kama ukishiriki usaliti lazima usalitiwe na wewe pia, EL alikuwa miongoni mwa wezi wa kura kutubu kwake ni kuibiwa na yeye, hatimaye CCM A wawaibia CCM B hapa ngoma droo
 
Mungu ni wa haki! Kama umeona ameshinda kwa haki sawa jua ni Mungu lakin kma kwa mapenzi yenu jua bado Mungu yupo kazini!

Usimshirikishe Mungu kwenye siasa za dunia hii! Kwa maana ni chafu na hazifai!
 
zitafutwe zote, ziwekwe hapo juu kwa ajili ya reference, maana usahaulifu wa watanzania ndio mtaji wa ccm
 
Hakuna furaha mioyoni mwa watanzania wengi zaidi ya elfu kumi pamoja na wale ambao kama 7m hawakupiga kura kuna kati yao hawana furaha pia. Ni changamoto. Kila jambo ni lazima lipate kibali cha Mungu vinginevyo ni mateso na laana tu.
 
Hongera sana Magufuli sasa ni wakati wa kutekeleza kwa vitendo yale yote uliyotuahidi
 
Safari ya miezi mitatu katika uchaguzi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania umefikia tamati huku ndugu John Pombe Magufuli akiibuka kuwa raisi wa awamu ya tano....Raisi mteule amezaliwa wilayani geita katika kijiji cha katoma...baadae Baba yake alihamia chato mkoani kagera enzi hizo...hivyo leo ni siku ya furaha sana huku kanda ziwa ikizizima kwa maandamano yakumpongeza ndugu john pombe magufuli.huyu ni raisi kwa mara ya kwanza anatokea kabila la wasukuma lililo kubwa kuliko makibila yote....john hakuchaguliwa kwa sababu ya ukabila wake maana watanzania sisi ni wamoja...tumemchagua Magufuli kwa uadirifu wake....uaminifu wake....na uchapakazi wake....
 
Dar..Arusha..Mbeya..kilimanjaro..Mwanza..wana akili..wengine wa dodoma watabak ombaomba daima..singida wameridhika na kuuza baa...Tabora endeleen kufuga nyuki...Ruvuma endeelen na ulevi wa pombe za kienyej

Mbeya mmeshindwa na mwanza mmeshindwa zaidi!
 
Mjini kimya, hakuna shangwe kabisa. Hii inadhihirisha kuwa huyu mtu hakuwa chaguo la watu. Nadhani chaguo la wengi lingetangazwa kila mtanzania angekuwa anafrahia wakati huu.
 
Mzee Lowasa sijui maden utayarudishaje, hapo lazma utafarakana na marafiki zako.

Mr Zero sijui utaishi vip mjin maana kichwan hamnazo ila ulikuwa unabebwa tu. Kingunge presha inapanda presha inashuka stend ya ubungo kwishney.

Mbowe anaumiza kichwa namna ya kuunganisha chadema tena. Mtamkumbuka mzee Slaa

umemsahau mshenga
 
magu+pic.jpg


Hongera JPM

 
Back
Top Bottom