Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5


Rise up fallen fighters,rise and take your stance again,because he who fights and run away,lives to fight another day- THE HEATHEN,BOB MARLEY & THE WAILERS
 
Naungana pamoja nanyi, yaani huzuni, we acha tu! Lakini tusikate tamaa, maana miaka inavyoenda ushawishi wa mi ccm unapungua. Kukata tamaa ni dhambi kubwa.
 
Kwahiyo kwa mtazamo wako unaamini kwamba Pombe ndiye atakeyetuondolea haya matatizo? Je! Chui anaweza kujibadilisha madoadoa yake? Kama anaweza, Basi Pombe pamoja na CCM wanaweza kutuondolea matatizo haya.

Acha akili za kilofa ww.mm naamini katika denokrasia.watanzania walio wengi(majority) wamemuamini JPM kama mtu sahihi kwao wa kushughulika na shida zao.kwahiyo husijifanye unajua sana kuliko watanzania mil8 waliofanya maamuzi.na kujifanya unataka kukosoa maamuzi yao.piga kimya liache tingatinga lifanye kazi aliyopewa na watanzania
 
Iweni watu wema kwa manufaa ya Watanzania. Uongozi Mpya wa Awamu ya Tano ni zawadi kwa Watanzania, tuipokee kwa furaha na amani tukizingatia kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi. Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wake, watanzania wote wake kwa waume na watoto.

Tanzania ni moja amani yetu ngao yetu. Hongera Rais wetu Mteule Dr. Magufuli na Makamu wako Samia Suluhu.
 
Lowasa pamoja na kupigiwa kampen na wanae kwenye mitandao, kupigiwa kampen na mkewe lakn hola.

Eti alitabiliwa na T.B joshua alitabiliwa sawa lakn michanganyo imezidi. Mara kanisani, mskitin, kwa waganga wa kienyeji,
 
Niliisha andika huko nyuma kwamba CCM ikishinda ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu na Chadema chini ya Lowassa ikashindwa, hakuna kingine kitakachofuata na huo utakuwa ndio mwisho wa Chadema.

Kwa msingi huo itakuwa ni ndoto kwa Chadema kushika dola ndani ya miaka 50. Subirini muone.
 
Atakiona cha moto niheri angeshindwa tu maake mafisadi na majizi yapo CCM Sasa sijui atakavyotekeleza ahadi zake!
 
Usimshirikishe Mungu kwenye siasa za dunia hii! Kwa maana ni chafu na hazifai!

Hahaha wanifurahisha mpendwa!! Hiv Mungu apaswi kufanyaje?? Na ufunguo kesho ataapishwa je kiapo chake kinamaneno gani he Mungu hata kuwepo pale??.
 
UKAWA itakufa kile kifo cha Babu Duni.KWA KUANZIA NCCR IMESHADEAD.BABU DUNI ANARUDI CUF kuuguza majeraha.Chadema mtaisikia kwa mbaliiii
 


Tunaitaji nini zaidi kujua kwamba nguvu zetu tuzieleke kwenye TUME HURU YA UCHAGUZI!
 
Shit!!! Kauli ya kuna maisha baada ya uchaguzi ni unafiki uliokomaa ukaota na magamba kama yale ya kenge. Vinginevyo uchakachuaji wa matokeo usingefanyika na kule Zanzibar ZEC isingeweka mpira kwapani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…