Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

kwangu hapa hakuna shamra shamra kabisa watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.ni miccm michache tu ndo inapita na kushangilia.vipi hapo ulipo hali ikoje??
 
Tume ya uchaguzi ni jumuiya ya CCM sawa na UVCCM au jumuiya ya wazazi.
Hilo hamkulijua? Lieni na mgombea wenu na nyodo zake za kuhutubia dakika mbili eti mapenzi mahaba. Kuna mapenzi mahaba kwenye siasa? Sasa ndiyo mtamwelewa Dr. Mihogo. Was he an asset or a liability? Mtu mmemshambulia for 10 yrs non stop kuwa ni fisadi leo from nowhere kawa msafi. Watu siyo wajinga kihivyo hata wanywe viroba namna gani!
 
Natafuta viroba leo. Nani anavyo? Leo hata barabara nitapiga deki na kuzimia nitazimia. Jimama langu uwiiiiii. Leo ni siku ya mapenzi mahaba bebi! It's a new day!!!

Kama kawaida "elelo nalena raha mpaka mmadako!" Ahahhaha.

Lowasa hakustahili kuwa rais wa hii jamhuri jamani.

Hongera Magufuli.
 
Nimeupokea kwa furaha sana ushindi wa JP Magufuli.

Ni ushindi wa Watanzania kwa kuwa JPM anaamini zaidi katika Utanzania na hivyo :

1. Anao uwezo wa kurejesha utaifa ulioraruriwa na tofauti za kiitikadi za vyama

2. Anao uwezo wa kubadilisha mfumo wa utendaji serikalini kwa kuwa ni mthubutu

3. Magufuli anao uwezo kutuletea mabadiliko tuliyotarajia kwa kuwa ni mchapa kazi na hana ubia katika ushindi wake wala makundi

4. Magufuli ni mwanasayansi. Wanasayansi huamini zaidi katika facts na matokeo na sio wingi wa maneno

5. Magufuli ni mwenye maamuzi, na ana uwezo wa kusimamia maamuzi yake. Hivyo ana uwezo wa kutimiza ahadi zake.

Ushindi wa Magufuli ni ushindi wa Watanzania
 
2020 ccm itashindwa vibaya sana kwa sababu sio watendaji na watimizaji wa ahadi zao, tuone huo ufisadi atakavyo pambana nao.
 
Tume ya uchaguzi ni jumuiya ya CCM sawa na UVCCM au jumuiya ya wazazi.

Wewe si ulijifanya kuhama Gunners, hama nchi chacha khee khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeaise tangu tulipokuchapa zile goli tatu hujaonekana pole sana. Lete habari za Arusha?
 
Uchaguzi ndio umemaliza kwa upande wa Tanganyika aka Tanzania Bara ,CCM nawapa hongera kama ni mechi ndio imekwisha ,mbinu walizotumia ndio ziliowapatia ushindi na sio wananchi kwa ujumla.

Kwa UKAWA wao nawapa pongezi za dhati kabisa kwani kama ni kipimo basi kimeonekana na kujikwaa si kuanguka pia naweza kusema ,demokrasia inaonyesha kushika kasi ,na UKAWA imekubalika kuliko CCM muhimu ni kujipanga ,miaka mitano sio mingi kabisa ,ni umri wa mtoto kuzaliwa na kuanza kuenda shule,itapita kama jana.

Muhimu ni kuzidi kushikana na kuzidisha mtandao na pia kuhakikisha majimbo na vitongoji mlivyoshinda mnajijenga kwa uimara zaidi na kuvidhibiti.

CCM tuseme magufuli amepewa ushindi ni katika uchaguzi bado ushindi katika aliyoyaahidi ambayo ni muhimu kwa kila Mtanzania ,isije kuwa ya maisha bora.

Hali kadhalika kuna hekaheka za bunge .UKAWA wameongeza idadi ya wabunge ni mtihani mwengine kwa CCM wanaoshangilia,tusubiri ndani ya miezi mitatu ,tutaanza kuona ukali ama utamu wa ahadi,

Nawapa hongera CCM tena ,nikiongezea kama Magufuli ameshinda kihalali basi neema tutaiona la kama ni kama ushindi wa waliopita kwa kweli kutakuwa hakuna jipya na zaidi ni kuongezeka kwa tunayotaka kuyakimbia.
 
Wako wapi wale manabii waliomtabiria lowasa ushindi???

Je uchaguzi huu umeona umeenda kwa haki?? Kama ni haki sawa ushindii ni wa mapenzi yenu! Na si mapenz ya Mungu kama wangekuwa huruu wangeruhusu media zitangaze matokeo pale pale kituoni! Wakaminya vyombo vya habari!! Unabii upo na naamin shetani yupo! Ila Mungu yupo kazini siku zote ni mweye haki
 
Ccm haondoki kwenye madaraka kwa peaceful, jeshi la Polisi limesaidia asilimia 50 ya ushindi wa ccm, hivyo tufahamu wananchi wanaendelea kutawala mpaka pale mutakapo ondoa hawa mafisadi kwa mikono yenu.
 
_86389197_d9674799-aadf-4dca-9c81-ff340a5c2fdf.jpg


_86389199_a9451725-e6e2-4da2-866c-52be6539ff58.jpg


_86389201_da9187b2-3b94-4083-b5f1-f13797a837f8.jpg


:lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1::lock1:
 
2020 ccm itashindwa vibaya sana kwa sababu sio watendaji na watimizaji wa ahadi zao, tuone huo ufisadi atakavyo pambana nao.
Kama hakuna tume huru ya uchaguzi ata wakimsimamisha Lusinde bado watashinda kwa kishindo.
 
kwanza tupambe kisha tushereheke .imewauuummaa!!!
 
Back
Top Bottom