Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

ccm sawa na mkia wa fisi ukiusifia utakufilisi, ccm oyeeeeeee, Magufuri , kama kawaaaaaa
 
Nyote ni washindi, mmepambana diff ya 2.2 si mbaya sana nyote mnapendwa na wa tz. Twende kazi!
 
Hii ni miaka mitano mingine ya dhiki na ulaghai wa CCM. Poleni watanzania.
 
YAMETIMIA! Kama kuna kasoro waelezwe watu wa UKAWA wakate rufaa Mahakamani, kitu ambacho hakipo!
 
Hii ni miaka mitano mingine ya dhiki na ulaghai wa CCM. Poleni watanzania!
 
mkuu unatumia nini kufikiri?

Inaonekana hujitambui.Kwa watu wanaotumia akili ya kuzaliwa na ya shule wamenielewa vizuri sana.
Lakini kwa mijitu kama wewe mnaotumia Didas masaburi kufikiri ndiyo una weza kuuliza swali la kipuuzi kiasi hicho.

Pole sana.
 
Mzee Kingunge hana thamani tena katika siasa za Tanzania! Amfuate rafiki yake EL wakachunge ng'ombe huko Monduli,
 
WASHEREHEKEE AU WASISHEREHEKEE , MAGUFULI NDIO RAISI KAma HUTAKI HAMA NCHI!! CCM TUTAENDELEA KUICHAGUA
 
Tukajipongeze jamani....mimi nimetukanwa sana na kutolewa kwenye magrup yooote ya wasap kisa tu namkubali jpm..asante mungu asante watanzania,,mmetenda haki wala hatuna mda wa kwenda ngome..tuna imani na jpm...asante mugu wetu
Sasa hivi ndiyo nitakufuta kabisa hadi kwenye phone book,wakorinto wa kwanza wewe!! Shadabbulicheka wahed wewe!! Na hayo ni kidogo tu,ntakuwa nakutukana kila siku asubuhi na jioni,mchana ntasunya tu kalabash wewe,nyooo
 
Mnaosema hapa kazi msije mkalalamika kuwa hamna kazi. Tunasubiri viwanda nchi nzima. Tunasubir mil50 kila kijiji.

Watanganyika hatutofautiani sana na nyumbu. Baada ya wiki moja kuanzia sasa fanya ka utafiti kadogo pale Kariakoo-DSM au Makoroboi-MZA - utuulize iwapo tunakumbuka hata ahadi moja aliyoitowa Makomeo!! Hayo yamekwisha tunarejea pale pale kulalamikia serikali, kusubiri mbunge atuletee msaada wa unga, akina mama wajawazito kujifungulia sakafuni, kutgeshea maji ya bomba yanayotoka mara moja hapa hapa DSM (kama hata mabomba yapo), nk This is Tanganyika, this is Africa (Tusibeze kauli ya Bw Trump). Congrats Mr Makomeo
 
Yaani watu wanavyombeza Lowassa na upinzani ni kama vile walitaka Magufuli apite bila kupingwa. Ndio demokrasia tunayoitaka hiyo? Natabiri kuwa wanasiasa wengi wa upinzani watatundika daluga na effectively tutarudi kwenye siasa za chama kimoja na zama za CCM kupita bila kupingwa. And your wishes will be granted then....
 
Back
Top Bottom