Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Ni kama vile utafurahia Chadema ikifa. Why? Kama Chadema ikifa, who do you think will the real loser?
 
Mtaani naona wachinjaji wa kimya kimya ndo wamatpkeza sasa na mapanga yao!
 
Hapo kwenye umoja wa kitaifa umekosea sana. Hapo ni kazi tu mambo ya umoja wa kitaifa Haiwezekani
 
Miaka mitano mingine ya dhiki na ulaghai wa CCM. Poleni watanzania.
 
mtajuta kumfahamu magufuli hasa hasa nyie ambao mmeajiliwa.mnaogopa kujiajili
 
Hahaha wanifurahisha mpendwa!! Hiv Mungu apaswi kufanyaje?? Na ufunguo kesho ataapishwa je kiapo chake kinamaneno gani he Mungu hata kuwepo pale??.

.........aibu kumshirikisha mungu kwenye mambo ya wizi
 
Ushindi wa magufuli ni ushindi wa ccm ambayo ni ile ile tusitarajie mabadiliko. Miaka mitano au kumi ya elimu duni, ukosefu wa huduma bora za afya na umasikini. Tutarajie ndioooooooo pale mjengoni.
 
Kinana apewe viti maalumu tuone alafu apewe uwaziri mkuu tuone kama hatakuwa waziri mzigo wa karne.
 
Mlikuwa mnamponda Sasa mnataka tuwape vyeo, hakuna cha umoja wa kitaifa wala nini
 
Baada ya mwaka mmoja mtasema ni nafuu utawala wa Kikwete, typo hapa!
 
Khaa!! Dr JPM uchaguzi umeisha nami sina haja ya kukupongeza ila nakumbuka ahadi yako moja tu muhimu kwamba HUTATUANGUSHA WATANZANIA... NA IWE HIVYO!
 
Wizi wa kura umemuweka madarakani, Mungu atalipa!

Siyo kwamba nyie ndio mlitaka kumuibia na ma IT wenu tuliowakamata? Kama mlikuwa na nia nzuri mnge hack mtandao wa tume? Magufuli anapendwa sana na watanzania walio wengi na walq hakuna wizi. Tafuteni kazi nyingine za kufanya kuanzia sasa.
 
Jimbo la Ukonga kuna maandamano makubwa wanawake kwa wanaume wanashangilia. Wanaimba nyimbo za kumsifu Dr Magufuli
 
Na hizo ndo ahadi za kumkubusha mh.JPM na akishindwa ndo tutajua kama alipata kura kihalali au la Mungu amtangulie maana atakayo yafanya ni kwaajili ya Watz wote
 
Back
Top Bottom