Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Huyu ndiye Rais Mteule wa Tanzania aliyechaguliwa na watu milioni 8.8 kati ya watanznia milioni 48 including watoto wetu.

Kazi kwetu watanzania

Je mpinzani wake wa karibu ni rais wa watanzania wangapi? Nenda uale malimao ulaleee
 
I think it will be my last time to vote in this ccm country, not tanzanians country. Nazidi kuichukia ccm jmn
 
Ni Johm Pombe Magufuli oyeeeeeee..ngoja tukashone suti......wa wa wa
 
Hongera sana JPM kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Awamu ya Tano👏👏👏👏
 
Hongera kwake Jpm karibu sana ikulu comrade
 
Mtajua wenyewe na li-nchi lenu.
Aendeleze sera ya CCM kuwatawala majuha.
 
Mkiandamana na ninyi mmeambiwa msiandamane ninyi mkakaidi, mtapigwa tu
 
Back
Top Bottom