Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

takribani watu milioni 7 hawajapiga kura hawa wangepiga je na lazima watakua vijana wasiojitambua hapa kazi tu
 
ilishafahamika competition ilikua easy alikua anapambana na robott
 
haina msisimko
haina mashiko
haina hisia.
kuna tofauti kubwa sana ya mapokeo ya kutangazwa kwa urais na ulinganifu wa matokeo ya kutangazwa kwa rais kwa mwaka 2005 na 2010
 
kwa nguvu walizowekeza wakati wa kampen...na asilimia hizo alizopata magufuli haziendani....pamoja na kuibaaa weee....hata 60% hajafika
 
Mh magufuli ndio ameishachaguliwa kuwa Rais wa tanzania hongera zake sasa watanzania turudi kwenye ujenzi wa Taifa
 
Watu zaidi ya milioni saba hawakupiga kura huenda lowasa angeshinda
 
hongera John Pombe Maghufuli.....
 
nasubiri kauli ya ukawa ila mimi binafsi simtambui kama rais
 
Back
Top Bottom