Elisabella
JF-Expert Member
- Sep 11, 2015
- 215
- 81
Badilisha jina kwanza hilo!!
Khaaaaaaa!!!! We lako ombaomba zuri??????? Au na ww unakaa dodoma???????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badilisha jina kwanza hilo!!
Wizi wa kura umemuweka madarakani, Mungu atalipa!
Wizi wa kura umemuweka madarakani, Mungu atalipa!
maisha baada ya uchaguzi.
Naiyona tanzania mpya yenye maendeleo. Hakika mungu akutie nguvu akuondolee tamaa akujaze uchungu wa maisha ya watanzania.
Tumekuamin mr president magufuli hebu onyesha kuwa waliokuchagua hawakukosea.
Mungu awe nawe daima ktk mda wote wa uongozi wako.
Huyu ndiye Rais Mteule wa Tanzania aliyechaguliwa na watu milioni 8.8 kati ya watanznia milioni 48 including watoto wetu.
Kazi kwetu watanzania
Mtajua wenyewe na li-nchi lenu.
Aendeleze sera ya CCM kuwatawala majuha.
Bila shaka, manung'uniko kila kona, hasa kufuatia utabiri wa January Makamba kwamba Magufuli lazima atanganzwe leo. Kumekuwepo ujuma za wazi hasa ushahidi wa Matokeo ya kule Bumbuli ambayo yalikuwa dhahiri kabisa kwamba mchezo fulani ulichezwa. Hii inatuacha kutafakari kwamba je Magufuli ni Rais wa NEC au wa Watanzania
Aanze kutimiza sera alizokuwa anamwaga majukwaani...
Ameshinda kwa asilimia 58.4% the lowest percent in history of Tanzania