Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

[h=2]MATOKEO YA URAIS[/h]
Majimbo 264 / 264 | Matokeo Rasmi | Tume ya Uchaguzi (NEC)
JohnMagufuli.png
8,882,935 Votes 58.46 %
voter.png

John Magufuli - CCM



tanzania-flag.png

EdwardLowassa.png
6,072,848 Votes (39.97 %)
voter.png

Edward Lowassa - CHADEMA







AnnaElishaMghwira.png
98,763 Votes (0.65%)
voter.png

Anna Elisha Mghwira - ACT




ChiefLutasolaYemba.png
66,049 Votes (0.43%)
voter.png

Chief Lutasola Yemba - ADC




HashimRungweSpunda.png
49,256 Votes (0.32%)
voter.png

Hashim Rungwe Spunda - CHAUMA




MacmillianLyimo.png
8,198 Votes (0.05%)
voter.png

Macmillian Lyimo - TLP




JankenMalikKasambala.png
8,028 Votes (0.05%)
voter.png

Janken Malik Kasambala - NRA




FahmiDovutwa.png
7,785 Votes (0.05%)
voter.png

Fahmi Dovutwa - UPDP




[h=2]MATOKEO YA UBUNGE - 176/264[/h]



[h=3]KEY[/h] [h=3]CHADEMA (33)[/h]
[h=3]CCM (132)[/h]
[h=3]ACT (1)[/h]
[h=3]CUF (9)[/h]
 
Bila shaka, ni manung'uniko kila kona, hasa kufuatia utabiri wa January Makamba kwamba Magufuli lazima atanganzwe leo.

Kumekuwepo ujuma za wazi, hasa ushahidi wa Matokeo ya kule Bumbuli, ambayo yalikuwa dhahiri kabisa kwamba mchezo fulani ulichezwa.

Hii inatuacha kutafakari kwamba: je, Magufuli ni Rais wa NEC au wa Watanzania?

Ingia msituni!
 
Huyu ndiye Rais Mteule wa Tanzania aliyechaguliwa na watu milioni 8.8 kati ya watanznia milioni 48 including watoto wetu.

Kazi kwetu watanzania

Huna akili wewe unaandika ujinga, kama watu waliambiwa wakajiandikishe na hawakwenda na waliojiandikisha waliambiwa wakapige kura hawakwenda ulitaka tufanyeje hapo profesa kichaa?
 
Mwaka 2005 Ushindi 80%

Mwaka 2010 Ushindi 68%

Mwaka 2015 Ushindi 58%

Mwaka 2020 Ushindi .....
 
Nimepita pita sehemu kadhaa na kukuta watu wakitizam Tv live kutangazwa kuteuliwa Raisi Mpya wa awamu ya tano Wa Tanzania... lakini ukiwatizama wamenyong'onyea sana kama wanaumwa...

Naomba ufanye kazi sasa kama ulivyoahidi... CCM Oyee
 
Sikuwahi kubadili msimamo wangu. Lowasa ataendelea kuitwa fisadi na hawezi kuwa rais. Watanzania tumemkata

Hongera Dr Magufuli!
 
haina msisimko
haina mashiko
haina hisia.
kuna tofauti kubwa sana ya mapokeo ya kutangazwa kwa urais na ulinganifu wa matokeo ya kutangazwa kwa rais kwa mwaka 2005 na 2010

Msisimko haupo kwa ile 39%. Pole sana!
 
Hapa nilipo ni msiba hakuna anaeshangalia kura za makamba zimemfanya atangazwe.Poleni Watanzania wengi mliotaka mabadiliko.
 
Hatumtambui na Tutamuonesha,hataweza kuitawala hii nchi kamwe

hizo chuki peleka kwa familiya yako. Magufuli tumemchagua watanzania wala hajachaguliwa na babaako. Hvyo huna mamlaka ya kumsemea neno lolote baya na likatimia.

Unganen muende monduli mkachunge. Mungu aliwapa kipawa cha kuongoza na kuchunga ng'ombe lakn sio kuongoza watu.

Utake usitake, hata uandamane Magufuli ndio rais wako.
Kama hutaki kajinyonge
 
Kwa pesa zilizo tumika, wasanii, hongo kwa mawakala, baraza la mawaziri kuto vunjwa, kura fake na bado hawakupata 60%.... ushindi huu kihalali ulikuwa wa the Don, mzee wa maamuzi Magumu...... hongerene ccm maana itabidi tu tuchukue tulicho pewa....
 
Siku mia moja za mwanzo zitatupa jibu juu ya miaka mitano ya uongozi wake.
 
Back
Top Bottom