Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Haya WATANZANIA Uchaguzi WETU Umeisha Kwa NAMNA YOYOTE Ile Hata Kama Haki Haikutendeka, Hatuna Namna Nyingine Ya KUFANYA!! Kikubwa Waliotangazwa Kuwa Ndio Washindi Waanze KUTEKELEZA Yale Walioyaihidi Kwa WATANZANIA!! Sio MLETE Blabla ZENU, Ili Mtarajie Kuja KUWADANGANYA Tena WATANZANIA 2020!!! Na Mshindi Wa Kule Zanzibar Naye Atangazwe Jmn!! Mbona CCM Mkishinda Ninyi Faster Mnajitangaza!! Sijui Kwanini Mkishindwa Ndio Tatizo!!!!
 
Wanaomuunga mkono JPM anzeni kushona suti.jmoc anahapishwa.Hongera tingatinga!
 
dah amina mkuu..naomba mungu amjalie ilo..asitusahau sisi masikini tulio wengi..sio lzm atupe pesa mfukoni ata akishusha bei ya bati na cement amaetenda

bila shaka mkuu.
 
Halafu muda mfupi ujao - mwezi desemba 2015 au januari 2016 utamsikia akitangaza:Ndugu wananchi hali
ya kiuchumi ni mbaya sana.Haitawezekana tena kutoa milioni 50 kwa kila kijiji wala kusomesha bure.
 
pamoja na matusi kibao, waliwekeza kwenye kampeni kwa gharama kubwa,kejeli na vitisho vingi lakini bado mteule wao hajafikisha 60%
 
Hahahah! Plan A ya ushindi ilikuwa kutisha wanawake na watu wazima kujiandikisha, plan B ni KUFANYA uharamia wa kimtandao, Jk unatishaaaa
 
Hongera rais wetu.
Mungu akupe hekima na maarifa yakuifikisha Tanzania pale inapostahili.
 
Haya bwana, kwenye anga zangu nikisikia mtu ana lalama maisha magumu namkata kidevu
 
Hivi saa anaapishwa atasema ataitumikia jamuhuri ya muungano au jamuhuri ya Tanganyika?
 
Huyu ndiye Rais Mteule wa Tanzania aliyechaguliwa na watu milioni 8.8 kati ya watanznia milioni 48 including watoto wetu.

Kazi kwetu watanzania

Ndio kaishakuwa raisi sasa huitaji kupanic sababu wote ni watanzania sijasikia mchina, mzungu, mkimbizi alikuwa anagombea maisha yanazonga mbele
 
Dr. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya 5 baada ya kuongoza kwa kupata kura 58.46%.


attachment.php









Niseme tu ya kwamba jf administrators ni wachumia tumbo, mlionyesha kuiunga mkono ccm waziwazi hususani katika wakati wa kampeni matokeo ya uchaguzi yalipokua yakitangazwa. Shame on you jf admin.
 
Back
Top Bottom