Hongera sana Mh. @Dr
john Magufuri , tunakuomba uwe Rais wa wote
hata wale wa vyama pinzani na wasio na vyama.
Tanzania ni yetu sote.
Ila nakushauri umkumbuke
Lowasa edward kwenye uongozi wako kwani
kwa kura alizopata sina shaka kuwa ana ushawishi mkubwa sana kwa serikali yako.
Nakutakia kazi njema Mh. Rais.
Maelezo zaidi.
[h=2]MATOKEO YA URAIS[/h]
Majimbo 264 / 264 | Matokeo Rasmi | Tume ya Uchaguzi (NEC)
8,882,935 Votes 58.46 %
John Magufuli - CCM
6,072,848 Votes (39.97 %)
Edward Lowassa - CHADEMA
98,763 Votes (0.65%)
Anna Elisha Mghwira - ACT
66,049 Votes (0.43%)
Chief Lutasola Yemba - ADC
49,256 Votes (0.32%)
Hashim Rungwe Spunda - CHAUMA
8,198 Votes (0.05%)
Macmillian Lyimo - TLP
8,028 Votes (0.05%)
Janken Malik Kasambala - NRA
7,785 Votes (0.05%)
Fahmi Dovutwa - UPDP
[h=2]MATOKEO YA UBUNGE - 176/264[/h]
[h=3]KEY[/h] [h=3]CHADEMA (33)[/h]
[h=3]CCM (132)[/h]
[h=3]ACT (1)[/h]
[h=3]CUF (9)[/h]