Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Ili hitaji uwe na akili za chawa kufikiri Magufuli asinge tangazwa mshindi.

USHINDI WA MASHAKA.
 
Hongera sana.mzee tunataka utekelezaji uanze mara moja.tumechelewa Sana.
 
Nikiangalia walioshinda ubunge sioni mawaziri wa kutekeleza ilani ya chama na sera zilizonadiwa wakati wa kampeni. Guru waliyekuwa wanamtegemea kwenye mambo ya viwanda ndiye Mungu kamtwaa yaani Mh. A. Kigoda. Ninachoona serikali inakwenda kumtegemea mwana mipasho January Makamba ambaye amezoea kufanya mambo kimagrini magrini. Yetu Maaacho:eek2::eek2:
 
Nimemwambia mwenyekiti wangu wa kule kijijini ajipange kupokea mil 50 na pia mwwenyekiti wangu wa mtaa kupokea mil 50. Ni raha tupu

Hakuna cha sent 50 wala mil 50,hapa kazi tu NA viwanda full stop!!!;!!!
 
Maamuzi Makini yamefanywa kwa Mtu Makini JPM. Ana uwezo na anaaminika.
 
Hogereni watanzania, tumepata Rais,

Hongera kwako Dr. Magufuli kwa kupewa dhamana hiyo na watanzania.

Sasa ni kazi tu.




Sasa tuoni atqkavyotekeleza ahadi zake za uongo. Nisije nikasikia mwana ccm akilala mika kuhusu hali ngumu badae.

Sasa ndo muda wakurudisha hela zao mulizo kila, na hili zoezi litachukua miaka miwili na nusu. Muda sio mrefu itafika 2020, bado watakua hajaifanya Mwanza kua Uswisi.
 
Mnaosema hapa kazi msije mkalalamika kuwa hamna kazi. Tunasubiri viwanda nchi nzima. Tunasubir mil50 kila kijiji.
 
Hapa kazi tu Hapa kazi tu Hapa kazi tu huraaaaaaaaa tusipoendelea kipindi hiki basi tena ila hapa kazi kweli kweli huraaaaaa
 
MAGU2.jpg


Jaji Damian Lubuva -Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Tanzania amemtangaza Dkt
@MagufuliJP
(CCM) kuwa mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais 2015.
 
Chonde chonde magufuri naomba uanze kurudisha mkopo wangu wa kampeni au unitafutie kanafasi..
 
Hongera watanzania kwa kuchagua Rais mchapakazi. Tumpe ushirikiano ili aweze kutufikisha katika malengo yetu ya maisha bora kwa wote. sasa tuoshe na tuhifadhi vichinjio vyetu kwa ajili ya uchaguzi ujao. asanteni sana.
 
IQ ya watanzania itaendelea kudharauliwa kwa miaka elfu ijayo..
 
Bila shaka, ni manung'uniko kila kona, hasa kufuatia utabiri wa January Makamba kwamba Magufuli lazima atanganzwe leo.

Kumekuwepo ujuma za wazi, hasa ushahidi wa Matokeo ya kule Bumbuli, ambayo yalikuwa dhahiri kabisa kwamba mchezo fulani ulichezwa.

Hii inatuacha kutafakari kwamba: je, Magufuli ni Rais wa NEC au wa Watanzania?
 
Hogereni watanzania, tumepata Rais,

Hongera kwako Dr. Magufuli kwa kupewa dhamana hiyo na watanzania.

Sasa ni kazi tu.

Aliyelipia wimbo ndiye huchagua wimbo. Magufuli hajalipia huo wimbo. Atacheza wimbo wa aliyeulipia.
 
Back
Top Bottom