Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

Anawaambia wafuasi wake wasikubali. Jaribuni muone chamoto.
 
Tumeipenda wenyewe......chaguo letu milele........nawavimbe wapasuke.........watajijua wenyeweeee....wacha waisome nambaa eeenh.....wataisoma namba.....CCM mbele kwa mbeleeeeee....Waacheni waandamane eeeeenh..Wajinga waleee..CCM mbele kwa mbeleeee
 
wewe sasa unataka kuwakera tu wale wamshenga.
lakini hata hivyo vijana wa ukawa msife moyo. tuungane tulijenge taifa letu kwa pamoja kwa ustawi wetu na vizazi vyetu vijavyo.

Na ndilo la msingi kwa sasa tuijenge nchi kwa faida yetu wenyewe na kwa watoto wetu tudumishe amani na umoja tusonge mbele
 
IBRAHIM MGAYA woyoo woyo woyooooo!!
Walijifanya ooh CCM imeishiwa pumzi ...mamamayeeeee!!!Wamebaki wakiwaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Naungana nawe kumpongeza Rais mteule Dr. John Pombe Magufuli.
Nyongeza kwenye maombi ya mambo ya kufanya;

7. Kuhakikisha serikali haiwekwi mfukoni kwa mafisadi, tusisikie tena wezi kama wa EPA, escrow n.k hawakamatiki kwa kuwa nchi itayumba!
Hata hivyo, nina imani kubwa kwamba serikali atakayounda haiwezi kuwekwa mfukoni na yeyote!
 
Nampongeza Magufuli kwa ushindi.
Naamini huo ni ushindi wa watanzania.
Namuomba afanye yafuatayo;
1. Arejeshe Utaifa uliopotea kutokana na itikadi za vyama,
2. Abadilishe mfumo wa utendaji serikalini na kuondoa mazingira ya rushwa, urasimu na undugu,
3. Atimize ahadi zake.

Ushindi wa Magufuli ni Ushindi wa Watanzania
 
hakiki asiyekubali kushindwa, niliamini ipo siku moja mmoja atakuja shinda naleo ni jpm, hongera baba, kumbuka ushindi wako umeletwa na wapinzani wako kwani wakiwa nyuma yako ulihamasika kuongeza juhudi za kinadi sera za chama chako na kijieleza kiufasaha kuwinda kura za watz.
 
Anawaambia wafuasi wake wasikubali. Jaribuni muone chamoto.

Wakwendreeeee zaooo vilaza haoooo!!wakifanya fujo watapigwa tu maana hakuna namna!Kama wameshindwa kutafakari kizuri na kibaya basi sisi tumewasaidia kuamua na kuchagua kiongozi boraaaa!!

Afya iliyoimara sio maradhiiii.......na jibu Ni MAGUFULI kote i waziii.....ile miaka imepitaaa..tumejioneaaa...barabara zapitikaa..aii nyingi sio kidogooo...zahanati kadhalika shule za kusomeaaaaa...Airport imekwishaa..imebaki kidoogoo tuanze tumiaaa..Chama namba wani ooo CCC chama namba CCM chamba namba wani..... Diamond buana!
 
Sasa Kazi Tu!
Hongera Rais mteule John Pombe Magufuli, pamoja na wengine wote walioshinda katika uchaguzi huu.
 

ni jf wamekosea au ni nec na calculator zaooooo?????
mimi ni mwana ccm ila sipendi unafiki nimekunywa pombe hapa lakini hizi data.........


""Aliongeza kuwa idadi ya wapigakura waliojiandikisha ni 23, 161, 440, waliopiga kura ni 15, 589, 639 sawa na asilimia 67.31 ya wapiga kura wote waliojiandikisha.

Alizitaja idadi ya kura halali kuwa ni kura halali 15, 193, 862 sawa 97.46% kura zilizokataliwa 402, 248 sawa 2.58% hivyo Magufuli amepata kura ambazo ni 8, 882, 935 sawa na 58.46% ya kura zote halali.

Matokeo ya wagombea wengine akiwemo, Anna Mghwira wa (ACT-Wazalendo) 98,763 sawa 0.65%, Chifu Lutalosa Yemba (ADC), 66, 049 sawa na 0.435 huku Edward Lowassa (Chadema) akimfuatia kwa kura Dk. Magufuli kwa kupata kura 6, 772, 848, sawa 39.97% na Hashim Rungwe wa (CHAUMMA) aliyepata kura 49, 256, sawa na 0.32%.

Wagombea akiwemo Janken Kasambala (NRA) 8, 028 sawa 0.03% na Maximilian Lyimo (TLP) 8, 198 sawa na 0.05% Fahmy Dovutwa (UPDP), 7, 785 sawa 0.05%.""
 
Ni wachache wanaothubutu kumpongeza JPM.... nahisi ni kati ya marais watakoukuwa na kazi ngumu sana

Kwanza kwa sababu hajachaguliwa na walio wengi,

Pili anaikuta serikali ikiwa katika hali mbaya kuliko alivyoikuta mkapa,

Tatu itamchukua miaka zaidi ya minne watu kumkubali... maana mpaka sasa hana kibali, watu bado wana rais wao mioyoni!!!!

Nne anaikuta CCM ikiwa vipande kukiwa na wasaliti wengi....

Tano anakutana na watanzania waliokata tamaa na maisha hawana hamu na lifisieM lao...

Ongezea mengine
 
Back
Top Bottom