Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Anawaambia wafuasi wake wasikubali. Jaribuni muone chamoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshinda kwa asilimia 58.4% the lowest percent in history of Tanzania
wewe sasa unataka kuwakera tu wale wamshenga.
lakini hata hivyo vijana wa ukawa msife moyo. tuungane tulijenge taifa letu kwa pamoja kwa ustawi wetu na vizazi vyetu vijavyo.
Eti Lowassa anasema kaibiwa Kura teh teh teh
Anawaambia wafuasi wake wasikubali. Jaribuni muone chamoto.
siji kupiga kura tena mpaka nakufa
Ukanda Upi wewe takataka? Ina maana Kanda ya Kaskazini Pekee ina wapiga kura asilimia 42?Hakuna wizi bali stratejia za kampeni.Pia kosa lenu la kuweka mbele ukanda.
Hakuna Rais
Wizi wa kura umemuweka madarakani, Mungu atalipa!