Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho magazeti cjui yataandikaje..
Mbona hiyo idadi ya kura za wagombea ni nyingi kuliko idadi ya kura halali kwa mujibu wa hiyo habari ya FikraPevu?..."mmepanga kuleta uchochezi"..."mmekosea bahati mbaya"...au ndo Lubuva alivotangaza hivyo?...(ukiwa mvivu kujumlisha zote basi jumlisha tu hata za Magufuli na Lowassa)Dr. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya 5 baada ya kuongoza kwa kupata kura 58.46%.
![]()
Lubuva: Kwa kuwa mheshimiwa Dr. Magufuli, John Pombe Joseph wa CCM amepata kura nyingi zaidi kuliko mgombea mwingine yeyote, kwa niaba ya tume ya taifa ya uchaguzi na kwa mujibu wa vifungu vya 35(e), 35(f) na 81(b) vya sheria ya taifa ya uchaguzi sura 343.
Ninatangaza rasmi matokeo ya uchaguzi ya urais wa mwaka 2015 kwamba
Asanteni kwa kunisikiliza
- Mheshimiwa Magufuli John Pombe Joseph amechaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
- Mheshimiwa Samia Hassan Suluhu amechaguliwa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
===========
Kutoka kwa mwandishi wa FikraPevu
Uhuru: NI MAGUFULI
Habari Leo: MAGUFULI RAIS WA AWAMU YA TANO
Tanzania Daima: LUBUVA ATETEMEKA WAKATI AKIMTANGAZA MAGUFULI KUWA RAIS
Jambo Leo: HAPA KAZI TU, MAGUFULI RASMI RAIS WA AWAMU YA TANO.
Nipashe: UKAWA WAPINGA MAGUFULI KUTANGAZWA MSHINDI. LOWASSA: NIMENYANG'ANYWA USHINDI
Dr. John Pombe Magufuli ametangazwa rasmi kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya 5 baada ya kuongoza kwa kupata kura 58.46%.
![]()
Lubuva: Kwa kuwa mheshimiwa Dr. Magufuli, John Pombe Joseph wa CCM amepata kura nyingi zaidi kuliko mgombea mwingine yeyote, kwa niaba ya tume ya taifa ya uchaguzi na kwa mujibu wa vifungu vya 35(e), 35(f) na 81(b) vya sheria ya taifa ya uchaguzi sura 343.
Ninatangaza rasmi matokeo ya uchaguzi ya urais wa mwaka 2015 kwamba
Asanteni kwa kunisikiliza
- Mheshimiwa Magufuli John Pombe Joseph amechaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
- Mheshimiwa Samia Hassan Suluhu amechaguliwa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
===========
Kutoka kwa mwandishi wa FikraPevu
Hata mimi imenishangazaIdadi ya kura zilizopo hapa zinakinzana na zilizopo ktk tovuti ya NEC. Je nani anatuvuruga?
Kumbe tumechagua tingatinga! Ama kweli watanzania tuna bahati mbaya. Ina maana hakukuwa na watu mpaka tukaamua Tingatinga ndio lituongoze! Kweli hii ni nchi ya malofa.Acha akili za kilofa ww.mm naamini katika denokrasia.watanzania walio wengi(majority) wamemuamini JPM kama mtu sahihi kwao wa kushughulika na shida zao.kwahiyo husijifanye unajua sana kuliko watanzania mil8 waliofanya maamuzi.na kujifanya unataka kukosoa maamuzi yao.piga kimya liache tingatinga lifanye kazi aliyopewa na watanzania
Yaani nihame kwenye ardhi ya mababu zangu toka kale eti kisa ninaikimbia CCM! Ndivyo mnavyojidanganya kwamba nchi hii ni mali ya wanaCCM peke yao ne wengine wote hawana haki ya kuendelea kuishi hapa. Kweli CCM ni chama cha Mashetani.EL ndo angeweza?? Kama vp hama nchi!