Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mungu amsamehe
mmmmh!naomba Mungu amgeuze huyu jamaa kuwa majivu au vumbi,shida gani ametuletea mshezi huyu
hii ni movie pia ya "The Walking Dead".
Imagine dunia ilivyopenda ngono sasa hivi ingekuwa vipi bila ukimwi? May be ni mipango ya Mungu tujiangalie sana mienendo yetu.
Hiyo movie si ishatoka au
namuomba mungu asimsamehe huyu mtu ikiwa ni kweli.
niko tayari kufunga na kuomba asisameheme ng'oooooo
Na wamefanikiwa, japo walidhani watamaliza weusi kama wahindi wekundu.
Wahindi wkundu hawajaisha ila wamekuwa westernised!
Usiseme ni mipango ya Mungu bali Mungu aliliachilia/aliruhusu ili tujiangalie sana mienendo yetu.hii ni movie pia ya "The Walking Dead".
Imagine dunia ilivyopenda ngono sasa hivi ingekuwa vipi bila ukimwi? May be ni mipango ya Mungu tujiangalie sana mienendo yetu.
DADA, ukiwa mfuatiliaji wa Biblia na mkristo. Dini inasemaje?