TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

It is True, Ni msiba Mkubwa, Msiba wa Kitaifa, Ni simanzi kwa Watanzania wote na hasa wapenda haki, Dr. Mvungi alikuwa mwanasheria nguli aliyebobea kwenye masuala ya katiba (Constitutional Law). Kama Taifa tumepoteza mtu muhimu ambaye Taifa lilikuwa bado linamuhitaji sana hasa katika kipindi hiki ambacho Taifa linajengewa nguzo muhimu ya Katiba. Hakika watanzania tutakukumbuka. RIP dr. Mvungi. Mungu ibariki Tanzania.
 
Pole sana familia na pole sana kaka Deo ilikuwa ni lazima baba aende! Pumzika kwa amani mr Mvungi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi amina....
 
Mwanakijiji, tuwekee yale mahojiano uliyofanya na Dokta mwaka 2007 kama sijakosea.
 
Mauti ni mlango ambao kila kiumbe lazima apitie!

Tulio na pumzi na tunaamini maisha baada ya kifo, ni fursa ya kujifunza kuwekeza katika maisha ya baadae kwa kufanya mema.

Pole kwa wafiwa wote.
 
Tumefika sehemu mbaya sana
katika historia ya Nchi hii... Ulimboka na Kibanda wametufikisha hapa kwa tabia mbaya waliyoifanya ya kuficha ukweli....

Mkuu mbona unawaonea hawa?

Ukweli gani Ulimboka hakusema?
 
Alale Pema Peponi Daktari wa ukweli Seng'ondo Mvungi.
 
Roho yake iwekwe mahali inapostahili , kifo chake haikuwa kazi ya Mungu , ni kazi ya wanadamu , hivyo tuache kabisa kusema eti KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA , utakuwa ni uzandiki wa hali ya juu mno .
 
Kufa ni lazima kwa binadamu wote. Ila sababu za kifo huwa zinaweza kuongeza uchungu kwa wafiwa. Hili ngumu ya maisha Bongo inasababisha vifo kama hivi. CCM ni wa kulaumiwa kwa ujambazi unakuwa kila siku nchini.

RIP Dr. Mvungi.
 
RIP - Most respected lawyer

Kova we need more evidence reagrding the killers. Many people have died, tortured but we Tanzanian we have no faith with the police force. Where is the laptop. Can you tell us where your force found the weapons. Your force has been been unable to connect evidence obtained to criminal offences. Rudisheni imani yetu kwa jeshi.
 
we kanusu una laana ya watanzania wote, na una ubongo laini kama mrenda hii ishu siasa imeingiliaje hapo fikiri ndugu yangu si kuwa hizo samsung galaxy mlizopewa ndo u post kila kitu, yani umenitibua na coment yako nenda fb shogolo wewe
 
Mungu turehemu wana wako, nchi yetu imekuwa Taifa la kihalifu.

Pole sana kwa mke na familia ya marehemu.

Hivi na hili tuseme BWANA ametwaa? Ah no! Siamini!
 
Hii nchi sio salama tena kwa kuishi,waliopewa mamlaka wanaimba taarabu badala ya kuwajibika na haya matukio...
R.i.p Dr. Mvungi ipo siku kuna watu watawajibika!
 
ooooooooh!!!!
:A S 2152: very Sad!! R.I.P Dr Mvungi. Nyuma yake Mbele Yetu.
 
Back
Top Bottom