TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

Imekuaje kuaje !
Mbona hakuna madokezo ili wasio na taarifa waelewe !?.......kuna maana gani kuanzisha uzi uko mkavu mkavu !
 
Nimesikitika sana.

Hunishindi nimelia kama vile nlishawahi kumuona,,huyu Dk Mvungi alikua na somethng special kwenye hii katba yetu,ole wae auae kwa upanga naye. Atakufa kwa upanga!pumzika kwa aman Dk Mvungi!
 
Poleni familia ya dr mvungi, poleni watanzania ... R I P dr Mvungi
 
Mungu awape faraja familia na watanzania wote kwani tummpoteza mtu wa muhimu hasa katika wakati wa mchakato wa mabadiliko ya katiba
 
Poleni sana familia ya Dr. Mvungi poleni sana NCCR Mageuzi.
 
Mungu ailaze roho yake mahali pema.watz tumwezi kwa kuhakikisha yale yote mema aliyoyatetea kwenye katiba yanakuwa ni sehemu ya kumbukumbu ya kumwenzi ndugu yetu huyu ambaye alikuwa na nia nzuri ya kujenga taifa lililo kwenye misingi bora
 
Bila Kumungunya MACCM wanahusika.
Kwa vyovyote vile.
Na sijuhi ni Intelejensia ya wapi inashindwa kuwapata hawa wauaji.

Tumushuhudia watalii wakiibiwa porini na chopa ikatumwa na wahalifu wakapatikana.

Tumeshuhudia Waziri Mzinzi akibiwa na Vibaka kushirikiana na Changudoa na wahalifu walipatikana.

Inakuwaje kwenye hili unaenda kukamata Wanywa Gongo alafu unasema wahalifu wamepatikana.

Nahisi mhusika ni yuleyule Rama.
 
Hii nchi sasa maisha ya watu ni mashaka matupu. Rest in Peace Dr Mvungi
 
jamani tunaomba watu mtuteremshie lolote mnalolijua kuhusu Dr. Wetu huyu kuanzia kuzaliwa kwake hadi kufa kwake.

1. He was humble

2. He was smart in giving lectures

3. Competent

He was my Constitutional Law lecturer at UDSM.

R.I.P Dr. Sengondo Adrian Mvungi.
 
inaumiza sana twna sana,sio mapenzi ya mungu haya,ni mapenzi ya binadamu,ila siku ya siku kila mtu ataenda kwa muumba
 
Taifa linapopoteza watu muhimu kama Dr. Mvungi kwa sababu mauaji ya 'ujambazi' inasikitisha.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa na jina la Bwana lihimidiwe.
 
Itatuchukua kipindi kirefu sana kuja kupata asset nyingine kama doctor mvungi...vipi usalama kwa wajumbe waliobaki?..r.i.p doctor...!
 
Back
Top Bottom