It is True, Ni msiba Mkubwa, Msiba wa Kitaifa, Ni simanzi kwa Watanzania wote na hasa wapenda haki, Dr. Mvungi alikuwa mwanasheria nguli aliyebobea kwenye masuala ya katiba (Constitutional Law). Kama Taifa tumepoteza mtu muhimu ambaye Taifa lilikuwa bado linamuhitaji sana hasa katika kipindi hiki ambacho Taifa linajengewa nguzo muhimu ya Katiba. Hakika watanzania tutakukumbuka. RIP dr. Mvungi. Mungu ibariki Tanzania.
Roho yake iwekwe mahali inapostahili , kifo chake haikuwa kazi ya Mungu , ni kazi ya wanadamu , hivyo tuache kabisa kusema eti KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA , utakuwa ni uzandiki wa hali ya juu mno .
Kufa ni lazima kwa binadamu wote. Ila sababu za kifo huwa zinaweza kuongeza uchungu kwa wafiwa. Hili ngumu ya maisha Bongo inasababisha vifo kama hivi. CCM ni wa kulaumiwa kwa ujambazi unakuwa kila siku nchini.
Kova we need more evidence reagrding the killers. Many people have died, tortured but we Tanzanian we have no faith with the police force. Where is the laptop. Can you tell us where your force found the weapons. Your force has been been unable to connect evidence obtained to criminal offences. Rudisheni imani yetu kwa jeshi.
we kanusu una laana ya watanzania wote, na una ubongo laini kama mrenda hii ishu siasa imeingiliaje hapo fikiri ndugu yangu si kuwa hizo samsung galaxy mlizopewa ndo u post kila kitu, yani umenitibua na coment yako nenda fb shogolo wewe
Hii nchi sio salama tena kwa kuishi,waliopewa mamlaka wanaimba taarabu badala ya kuwajibika na haya matukio...
R.i.p Dr. Mvungi ipo siku kuna watu watawajibika!